vizuri umeeleweka sana boss lakini kitu kimoja nachokiona hapo ni issue anbazo tunaweza kuzipa ufumbuzi.
1. kwa hoja yako ya msingi tunaweza kuitatua kama vijana wataoa mabinti bikra jambo ambalo kiukweli ndio swala la msingi kabisa katika uchepukaji .unakuta mwanaume anaoa mwanamke kishaonja rungu la mzaramo , keshaonja la mchaga keshaonja la msukuma nk nk. kwa mke kama huyu mume ukiteleza kidogo tu kwenye tendo huna chako.mabinti mabikra wapoo tena wapo sana tatizo vijana tunakimbilia hawa wadada wa mjini wavaa mawig tunaona ndio wanawake wanaofaa kuwa wake.
2.Kwenye swala la kuchokana, hapa kwanza kabisa vijana wanaoa kwa mazoea au mashinikizo fulani na sio kwa kupenda .kama kweli unampenda mtu kumchoka huwa ni ngumu sana, pamoja na hayo ni vyema kujenga tabia ya kujaribu kuwa mpya kwa mwenza wako kila wakati yani usiwe mtu wa kutabiria kirahisi,ukifanya hivi ni ngumu sana kuchokana.
3. kuna hizi semina za maswala ya ndoa pia ni muhimu vijana kuhunduria maana zina afya sana kwenye ndoa zetu hasa katika hatua za awali za ndoa. ndoa ni jambo pana sana linahitaji maarifa na hekma ya juu sana .kwa elimu inayopatikana kwenye hizi semina ni nzuri mno hasa katika hatua za mwanzo za ndoa.
4 Wanaume tunachepuka mnoo ,halafu kibaya tumehalalisha kuchepuka kwetu na kuharamisha kwa mwanamke. kitu ambacho kwa mwanamke akishagundua kuwa unachepuka wengi hupoteza kabisa upendo na mwisho wa sku naye huamua kumpa jamaa alokuwa anammendea.
hitimisho : oa bikra mwenye hofu ya mungu, mpende ,kuwa rafiki yake, usichepuke ,nendeni mpate elimu ya ndoa popote mtaposikia inatolewa.
Sent using
Jamii Forums mobile app