tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Nadhani ni kwa sababu matangazo mengi ya waganga huko Kenya (hasa Nairobi) wanajitambulisha kama waganga kutoka Watanzania, kama ilivyo kwetu waganga wanaona fahari kudai wametoka Nigeria, au Sumbawanga...Mara nyingi nimekuwa nikisikia Wakenya wakisema watanzania ni Wachawi sana. Huwa sielewi hii notion imetoka wapi.
Lakini nikifikiria matukio ya hivi karibuni, kama kunatana kwa wagoni, mwizi kurudisha gari akicheza ndombolo napata shida kutowavulia Wakenya kofia. Sangoma wa bongo utapoteza pesa zako tu.
Mara nyingi nimekuwa nikisikia Wakenya wakisema watanzania ni Wachawi sana. Huwa sielewi hii notion imetoka wapi.
Lakini nikifikiria matukio ya hivi karibuni, kama kunatana kwa wagoni, mwizi kurudisha gari akicheza ndombolo napata shida kutowavulia Wakenya kofia. Sangoma wa bongo utapoteza pesa zako tu.
Wasukuma ndio wachawiHuo ulikuwa ukora wa waganga bandia waliokuwa wakitaka wateja. Kulikuwa na CCTV Cameras ambazo zishaonyesha kuwa ulikuwa to ni utapeli mtupu. Tayari washfikishwa mahakamani.
Kuna mambo mawili ambayo mie huskia kutoka TZ:
1. Kuna kabila la watu wanaoitwa wachaga amba ni wachawi sana.
2. Kuna waislamu wengi TZ kushinda Kenya, na mara nyingi kenya ukitaka kuifanya biashara hii, ni lazima ujiite Sheikh Abdulaziz ndiposa upate wateja
Wachaga? Tuheshimiane mkuu. Wanapoendaga December makwao sio kufanya uchawi, ni kukutana na Ndugu na familia na kujuana hali na kusheherekea.Huo ulikuwa ukora wa waganga bandia waliokuwa wakitaka wateja. Kulikuwa na CCTV Cameras ambazo zishaonyesha kuwa ulikuwa to ni utapeli mtupu. Tayari washfikishwa mahakamani.
Kuna mambo mawili ambayo mie huskia kutoka TZ:
1. Kuna kabila la watu wanaoitwa wachaga amba ni wachawi sana.
2. Kuna waislamu wengi TZ kushinda Kenya, na mara nyingi kenya ukitaka kuifanya biashara hii, ni lazima ujiite Sheikh Abdulaziz ndiposa upate wateja
Nigeria na Haiti haipo top ten? Huu ni uwongoSio Wakenya tu, bali dunia yote inawajua Watanzania kuwa wachawi na washirikina, haswa matukio yenu ya kuwachinja albino yameangazwa dunia yote. Hii hapa orodha ya nchi zinazoongona kwa imani za kishirikina duniani, humo mumetajwa
1. Indonesia
2. Democratic Republic of Congo
3. Ghana
4. Colombia
5. Uganda
6. Papua New Guinea
7. India
8. Nepal
9. Gambia
10. Tanzania
http://www.therichest.com/rich-list/11-countries-that-still-believe-in-witchcraft/
Nigeria na Haiti haipo top ten? Huu ni uwongo
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
kwanza,that was a stage managed act by a mganga kutoka Uganda. secondly kuna mabango sehemu nyingi kama hayo MK254 amepost ya "mganga kutoka tanzania" which makes it evidentMara nyingi nimekuwa nikisikia Wakenya wakisema watanzania ni Wachawi sana. Huwa sielewi hii notion imetoka wapi.
Lakini nikifikiria matukio ya hivi karibuni, kama kunatana kwa wagoni, mwizi kurudisha gari akicheza ndombolo napata shida kutowavulia Wakenya kofia. Sangoma wa bongo utapoteza pesa zako tu.
duu hii noma sana...DRC nasikia uchawi sana na bure..Sio Wakenya tu, bali dunia yote inawajua Watanzania kuwa wachawi na washirikina, haswa matukio yenu ya kuwachinja albino yameangazwa dunia yote. Hii hapa orodha ya nchi zinazoongona kwa imani za kishirikina duniani, humo mumetajwa
1. Indonesia
2. Democratic Republic of Congo
3. Ghana
4. Colombia
5. Uganda
6. Papua New Guinea
7. India
8. Nepal
9. Gambia
10. Tanzania
http://www.therichest.com/rich-list/11-countries-that-still-believe-in-witchcraft/
hao ni matapeli tu kama matapeli wengine wa kawaida.wanaiba pesa ya wakenya kiulaini kwa kisingizio cha mganga toka sumbawanga-tanzania.
duh!Huo ulikuwa ukora wa waganga bandia waliokuwa wakitaka wateja. Kulikuwa na CCTV Cameras ambazo zishaonyesha kuwa ulikuwa to ni utapeli mtupu. Tayari washfikishwa mahakamani.
Kuna mambo mawili ambayo mie huskia kutoka TZ:
1. Kuna kabila la watu wanaoitwa wachaga amba ni wachawi sana.
2. Kuna waislamu wengi TZ kushinda Kenya, na mara nyingi kenya ukitaka kuifanya biashara hii, ni lazima ujiite Sheikh Abdulaziz ndiposa upate wateja
Sumbawanga ni wapi?Nadhani ni kwa sababu matangazo mengi ya waganga huko Kenya (hasa Nairobi) wanajitambulisha kama waganga kutoka Watanzania, kama ilivyo kwetu waganga wanaona fahari kudai wametoka Nigeria, au Sumbawanga...
Shekh shalifu majini.Huo ulikuwa ukora wa waganga bandia waliokuwa wakitaka wateja. Kulikuwa na CCTV Cameras ambazo zishaonyesha kuwa ulikuwa to ni utapeli mtupu. Tayari washfikishwa mahakamani.
Kuna mambo mawili ambayo mie huskia kutoka TZ:
1. Kuna kabila la watu wanaoitwa wachaga amba ni wachawi sana.
2. Kuna waislamu wengi TZ kushinda Kenya, na mara nyingi kenya ukitaka kuifanya biashara hii, ni lazima ujiite Sheikh Abdulaziz ndiposa upate wateja
Sio Wakenya tu, bali dunia yote inawajua Watanzania kuwa wachawi na washirikina, haswa matukio yenu ya kuwachinja albino yameangazwa dunia yote. Hii hapa orodha ya nchi zinazoongona kwa imani za kishirikina duniani, humo mumetajwa