Kwanini Wakenya Huamini Watanzania ni Wachawi Zaidi?

Kwanini Wakenya Huamini Watanzania ni Wachawi Zaidi?

Spenzia Oii Niwieni radhi kwani niliyoyasema si yakuleta ukabila kwenye mjadala huu, bali ni kueleza tu zile kasumba ambazo zipo. Ukweli ni kwamba maeneo ya pwani hujulikana sana kwa mambo ya kichawi na majini . Hapo mbeleni, ilikuwa ni mganga kutoka pemba/zanzibar. Lakini siku hizi ni mganga kutoka tanzania. Ieleweke ya kwamba wengi wa hawa wanaojiita waganga kuto TZ ni wakenya tu watapeli. Waganga wa kienyeji halis huwa hawaweki mabango na wengi wao watakueleza walipozaliwa na ukoo wao no gani. Huu upuuzi wa "kutoka Tanzania" ni wa kushika mazuzu walio desperate.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Wachaga? Tuheshimiane mkuu. Wanapoendaga December makwao sio kufanya uchawi, ni kukutana na Ndugu na familia na kujuana hali na kusheherekea.

Kenya kuna wachawi wengi tu sana, mnaisingiziaga Tz lakini recently vitendo vikubwa vya kichawi vinatokea kwenu.
Kulipo na wachawi wengi zaidi mimi sijui. Ninalojua ni kwamba eneo la mlima Kenya sijawahi kuona au kuskia ati wachawi wapo ,matukio ya uchawi au biashara hiyo.
 
ni sababu vibango vya mchawi toka Tanzania vimejaa Kenya pande zote
 
ni sababu vibango vya mchawi toka Tanzania vimejaa Kenya pande zote
Ndiyo tulio watumia kumloga mseveni ili apitishe bomba tz na sasa tutawatumia kuloga bomba lenu kenya lipite kwetu[emoji287] [emoji284]
 
hao ni matapeli tu kama matapeli wengine wa kawaida.wanaiba pesa ya wakenya kiulaini kwa kisingizio cha mganga toka sumbawanga-tanzania.

kwa hakika "wanawapiga" wakenya wengi sana huko.

wanafanya hivo wakijua kwamba wakenya wengi ni waamini na washiriki wa mambo ya ushirikiana,hasa hasa ushirikina wa kutafuta utajiri.

NB:
mganga halisi aliyebobea katika kazi yake ya uganga hua hajitangazi kwa mabango ya barabarani bali kazi yake kwa kupitia wale aliowafanikishia ndio humtangaza.

by the way,hata mimi ni gwiji wa kazi hiyo,kwa mfano toka hapa nilipo jiji dar, naweza nikafanya mambo yangu,halafu wewe huko kenya ukageuka kuwa shoga,ghafla unaanza kutamani "kushughulikiwa" na kila mwanaume hapo nairobi.

usicheze na sisi watz,"gademu iti".[emoji23]
Yaani unataka jamaa agegedwe sio? Humtakii mema... Ukiwa Mbongo ukakutana na Mkenya ukamwambia ntakuloga anaufyata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Wakenya tu, bali dunia yote inawajua Watanzania kuwa wachawi na washirikina, haswa matukio yenu ya kuwachinja albino yameangazwa dunia yote. Hii hapa orodha ya nchi zinazoongona kwa imani za kishirikina duniani, humo mumetajwa

1. Indonesia
2. Democratic Republic of Congo
3. Ghana
4. Colombia
5. Uganda
6. Papua New Guinea
7. India
8. Nepal
9. Gambia
10. Tanzania
http://www.therichest.com/rich-list/11-countries-that-still-believe-in-witchcraft/
Haya kwenye hiki chanzo chako sisi tumetajwa ninyi hampo,

Nami ngoja nikuletee chanzo changu, kenya iko nafasi ya nne kwenye nchi zinazoongoza kwa uchawi huku tz ikiwa nafasi ya 10. Nani ni mkweli?

Orodha hii hapa ya nchi za kiafrika
1. Nigeria
2. Zambia
3. Malawi
4.Kenya
5. DRC
6. Ghana
7. Uganda
8. Papua new Guinea
9. Gambia
10. Tanzania

Top 10 African countries that have the strongest juju and witchcraft – #1 will surprise you big time!

Haya najua utaanza kubisha kuwa hiyo source sio credible[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28]



Orodha nyingine ya dunia hii hapa na mmeshika nafasi ya 4 kati ya nchi 10. Pamoja na kuwa na sisi hapa tupo, lakini ukweli ni kuwa Kenya uchawi upo, na nashawishika kusema kuwa ni mkubwa kuliko ule wa tz!
10 Countries with Deadly Witch Hunting Practices
 
Halafu haya mabango yamejaa kwetu

View attachment 584774

hahaa
kwanza,that was a stage managed act by a mganga kutoka Uganda. secondly kuna mabango sehemu nyingi kama hayo MK254 amepost ya "mganga kutoka tanzania" which makes it evident

ni sababu vibango vya mchawi toka Tanzania vimejaa Kenya pande zote

Nyie mnakesha hapa mkibisha huko kwenu hakuna wachawi, haya na hawa waliokuwa wanachomwa kwa tuhuma za uchawi huko Kenya na kuandikwa na vyombo vya habari walitoka wapi!? Acheni kujishaua nyie, kenya ina uchawi balaa na nimeshawaonyesha ikiwekwa kwenye orodha!

Elderly Kenyans burned alive as 'witches' after refusing to give up desirable coastline land | Daily Mail Online

BBC NEWS | World | Africa | 'Witches' burnt to death in Kenya

Elderly woman beheaded and burnt in Kisii


Sasa mje hapa mtupe majibu hawa mnaowachoka kila siku ni watu kutoka wapi? Majina ya kikenya hayo
 
Back
Top Bottom