white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,488
aisee hilo jina nalisikia sana clouds fm mpaka nimeshangaaShekh shalifu majini.
post using my macbook air using jamiiforums app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee hilo jina nalisikia sana clouds fm mpaka nimeshangaaShekh shalifu majini.
post using my macbook air using jamiiforums app
Kulipo na wachawi wengi zaidi mimi sijui. Ninalojua ni kwamba eneo la mlima Kenya sijawahi kuona au kuskia ati wachawi wapo ,matukio ya uchawi au biashara hiyo.Wachaga? Tuheshimiane mkuu. Wanapoendaga December makwao sio kufanya uchawi, ni kukutana na Ndugu na familia na kujuana hali na kusheherekea.
Kenya kuna wachawi wengi tu sana, mnaisingiziaga Tz lakini recently vitendo vikubwa vya kichawi vinatokea kwenu.
Ndiyo tulio watumia kumloga mseveni ili apitishe bomba tz na sasa tutawatumia kuloga bomba lenu kenya lipite kwetu[emoji287] [emoji284]ni sababu vibango vya mchawi toka Tanzania vimejaa Kenya pande zote
Ni kwa vile nyie mazoba hao jamaa wamekosa wateja Bongo ndo maana wamekuja pande hiyo kwa wanaowaamini.ni sababu vibango vya mchawi toka Tanzania vimejaa Kenya pande zote
Yaani unataka jamaa agegedwe sio? Humtakii mema... Ukiwa Mbongo ukakutana na Mkenya ukamwambia ntakuloga anaufyata!hao ni matapeli tu kama matapeli wengine wa kawaida.wanaiba pesa ya wakenya kiulaini kwa kisingizio cha mganga toka sumbawanga-tanzania.
kwa hakika "wanawapiga" wakenya wengi sana huko.
wanafanya hivo wakijua kwamba wakenya wengi ni waamini na washiriki wa mambo ya ushirikiana,hasa hasa ushirikina wa kutafuta utajiri.
NB:
mganga halisi aliyebobea katika kazi yake ya uganga hua hajitangazi kwa mabango ya barabarani bali kazi yake kwa kupitia wale aliowafanikishia ndio humtangaza.
by the way,hata mimi ni gwiji wa kazi hiyo,kwa mfano toka hapa nilipo jiji dar, naweza nikafanya mambo yangu,halafu wewe huko kenya ukageuka kuwa shoga,ghafla unaanza kutamani "kushughulikiwa" na kila mwanaume hapo nairobi.
usicheze na sisi watz,"gademu iti".[emoji23]
Haya kwenye hiki chanzo chako sisi tumetajwa ninyi hampo,Sio Wakenya tu, bali dunia yote inawajua Watanzania kuwa wachawi na washirikina, haswa matukio yenu ya kuwachinja albino yameangazwa dunia yote. Hii hapa orodha ya nchi zinazoongona kwa imani za kishirikina duniani, humo mumetajwa
1. Indonesia
2. Democratic Republic of Congo
3. Ghana
4. Colombia
5. Uganda
6. Papua New Guinea
7. India
8. Nepal
9. Gambia
10. Tanzania
http://www.therichest.com/rich-list/11-countries-that-still-believe-in-witchcraft/
hahaa
kwanza,that was a stage managed act by a mganga kutoka Uganda. secondly kuna mabango sehemu nyingi kama hayo MK254 amepost ya "mganga kutoka tanzania" which makes it evident
ni sababu vibango vya mchawi toka Tanzania vimejaa Kenya pande zote
namgeuza mti wa mnazi kila siku "anapandwa".Yaani unataka jamaa agegedwe sio? Humtakii mema... Ukiwa Mbongo ukakutana na Mkenya ukamwambia ntakuloga anaufyata!
Sent using Jamii Forums mobile app