tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Mara nyingi nimekuwa nikisikia Wakenya wakisema watanzania ni Wachawi sana. Huwa sielewi hii notion imetoka wapi.
Lakini nikifikiria matukio ya hivi karibuni, kama kunatana kwa wagoni, mwizi kurudisha gari akicheza ndombolo napata shida kutowavulia Wakenya kofia. Sangoma wa bongo utapoteza pesa zako tu.