Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Huu utani wao usipokuwa na mipaka utakuja kuleta kiongozi ambaye ni Anti-kenyan halafu ndipo watakaposhangaa. Hawajui kutofautisha utani na dharau na mbongo hapendi dharau.Hii ni tofauti sn kwa Uganda,Burundi na Rwanda. Wakenya na Watanzania ni zaidi ya beef. Unaweza sema ni vita. Mitandaoni ni nadra sn kuona watu wa nchi hizi mbili wakiombeana mema. Ni mwenda wa kuchambana kutukanana na kuombeana majanga. Shida nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Facebook kuna group moja linaitwa Group kenya, sasa ukitaka ujuwe Tanzania na kenya hatupatani nenda kaanzishe mada inayohusu watanzania huone
Wote watuachie hapo kwenye raisi wamchukue tena bureeee.pamoja na kuwapa msaada wa chakula na ndege tausi.lkn hawakutosheka
wamesema mount kilimanjaro ni ya kwao.tukawaacha.
wamesema dimond ni mkenya tukawaacha.
mpaka samata wanasema na wa kwao.
sasa wameanza mtusi rais wetu.
hawa ni watu gani wasio na shukrani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni tofauti sn kwa Uganda,Burundi na Rwanda. Wakenya na Watanzania ni zaidi ya beef. Unaweza sema ni vita. Mitandaoni ni nadra sn kuona watu wa nchi hizi mbili wakiombeana mema. Ni mwenda wa kuchambana kutukanana na kuombeana majanga. Shida nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee! [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]We hujui kwamba wakenya ni wake zetu!????..
Jamaa mbona unashangaa???
pamoja na kuwapa msaada wa chakula na ndege tausi.lkn hawakutosheka
wamesema mount kilimanjaro ni ya kwao.tukawaacha.
wamesema dimond ni mkenya tukawaacha.
mpaka samata wanasema na wa kwao.
sasa wameanza mtusi rais wetu.
hawa ni watu gani wasio na shukrani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kabisa....Syo Vita ila n kawaidaHii ni tofauti sn kwa Uganda,Burundi na Rwanda. Wakenya na Watanzania ni zaidi ya beef. Unaweza sema ni vita. Mitandaoni ni nadra sn kuona watu wa nchi hizi mbili wakiombeana mema. Ni mwenda wa kuchambana kutukanana na kuombeana majanga. Shida nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyumbani wazazi wakifanya makosa ya kuzaa watoto wawili wa jinsia moja walioachana kwa mwaka moja kiumri basi lazima patachimbika katika nyumba hio. Hii ni kwa sababu ndugu mdogo hatamuheshimu ndugu mkubwa kwa sababu ndugu mkubwa amemuzidia kwa mwaka moja tu kwa hivyo hata nguvu wanatoshana na wanaweza pigana mieleka. Sasa hapa ndugu mkubwa kiuchumi ni Kenya lakini Tanzania haitaki kukubali kushindwa kwa hivyo lazima izue zogo.Hii ni tofauti sn kwa Uganda,Burundi na Rwanda. Wakenya na Watanzania ni zaidi ya beef. Unaweza sema ni vita. Mitandaoni ni nadra sn kuona watu wa nchi hizi mbili wakiombeana mema. Ni mwenda wa kuchambana kutukanana na kuombeana majanga. Shida nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Generally, nakubaliana na asilimia tisini ya ulichoandika.Kiukweli kabisa....Syo Vita ila n kawaida
Kenya ndo inaongoza kwa GDP EAST AFRICA...ambayo imeshikwa na watu wachache 10% tu labda....
Lakin reality on ground ....
Ndo poorest country uktoa hao wachache waloshika uchumi
Watu wanaishi kwenye slams Tena ziko Nairobi...ingia Google utaona...
Na Hamna sehem Kuna slams Kama hizo hii East Africa nzima
Njaa kali sana kwao...half ya nchi n jangwa.....so umaskin plus ukame na jangwa yaan shida kila mwaka northern. Kenya maelf ya watu na mifungo vinakufa
Hawana resources Kama tz
Hawana vivutio vingi Kama tz
Wamegawanyika kikabila c Kama huku tz
Wanajifanya wako westernised na wameangukia kwene utumwa Sasa izi wamekuwa chinised ....wachina wanawachalaza viboko
Ko wametuzidi point moja tu watu wengi wamesoma soma kidogo
Tz....maskini Ana ekari za ardhi
.....anachakula ya kutosha....anajumba ya kawaida tofal na bati syo slums ya makuti na mabox
Kinachofanya waumie kichwa we are taking over the game!!
Literacy rate inapanda we are almost equal
Viwanda vinaongezeka kwa kasi walikua wanatuuzia bidhaa Sasa tunawauzia
Walikua wananunua malighaf Sasa no wananunua bidhaa
Utaliii tunawapga bado kwa kuboresha miundombinu na tuna vivutio vingi
So haya yatafanya Tz iwe one of top 5 great economy in Africa ...the worst nightmare ya Kenya
Ndo maana haihangaiki na Uganda wale rwanda or South Sudan
Sent using Jamii Forums mobile app