Kiukweli kabisa....Syo Vita ila n kawaida
Kenya ndo inaongoza kwa GDP EAST AFRICA...ambayo imeshikwa na watu wachache 10% tu labda....
Lakin reality on ground ....
Ndo poorest country uktoa hao wachache waloshika uchumi
Watu wanaishi kwenye slams Tena ziko Nairobi...ingia Google utaona...
Na Hamna sehem Kuna slams Kama hizo hii East Africa nzima
Njaa kali sana kwao...half ya nchi n jangwa.....so umaskin plus ukame na jangwa yaan shida kila mwaka northern. Kenya maelf ya watu na mifungo vinakufa
Hawana resources Kama tz
Hawana vivutio vingi Kama tz
Wamegawanyika kikabila c Kama huku tz
Wanajifanya wako westernised na wameangukia kwene utumwa Sasa izi wamekuwa chinised ....wachina wanawachalaza viboko
Ko wametuzidi point moja tu watu wengi wamesoma soma kidogo
Tz....maskini Ana ekari za ardhi
.....anachakula ya kutosha....anajumba ya kawaida tofal na bati syo slums ya makuti na mabox
Kinachofanya waumie kichwa we are taking over the game!!
Literacy rate inapanda we are almost equal
Viwanda vinaongezeka kwa kasi walikua wanatuuzia bidhaa Sasa tunawauzia
Walikua wananunua malighaf Sasa no wananunua bidhaa
Utaliii tunawapga bado kwa kuboresha miundombinu na tuna vivutio vingi
So haya yatafanya Tz iwe one of top 5 great economy in Africa ...the worst nightmare ya Kenya
Ndo maana haihangaiki na Uganda wale rwanda or South Sudan
Sent using
Jamii Forums mobile app