Kwanini Wakenya siyo wajanja kwenye hili?

Wacha ujinga wewe..yani unajisifia kutaja kabila lako unapoingia guest...naskia hata kuna form zingine hko pia unajaza mpka kabila lako...

Kisha mnakuja kujisifu hapa[emoji1787]
 
Ndio sababu umeulizwa, taja tasnia moja inayotumia idadi ya watu katika makabila ya nchi. Ukiona watu wanatafuta idadi ya watu kwa kila kabila au dini, ujue ni wabaguzi, hakuna data yoyote ya kisayansi inayohitaji kujua idadi wa watu kwa misingi ya ukabila au dini.

Sensa imeanzia nchi zilizoendelea, huwezi kukuta nchi yoyote iliyostaarabika inayouliza kabila au dini ya mtu katika zoezi la sensa, hii ipo katika nchi chache sana duniani, na msingi wake ni ubaguzi, sio zaidi ya hapo.
 

Marekani wanauliza 'race' ya mtu, Black, White, Hispanic etc.
 
Marekani wanauliza 'race' ya mtu, Black, White, Hispanic etc.
Na ndio sababu wanarekani ni wabaguzi sana. Nilikua Europe kwa miaka kadhaa, wazungu wa Europe wanasema wamarekani ni tajiri lakini hawajaendelea, moja ya sababu hi hiyo na kuamini dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…