Unaumwa wewe, sasa hivi Tanzania bei ya mahindi ipo juu sana, Dar sasa hivi gunia moja la Mahindi ni elfu 90. Hivi wewe ni mtanzania kweli?, Zimbabwe na Msumbiji wanakabiliwa na njaa ya ajabu, watu wameanza kufa kwa njaa Zimbabwe wewe eti unasema wanalima zaidi yetu, nchi pekee yenye unafuu wa Chakula ukanda huu ni Zambia, lakini zingine zote zinategemea Tanzania.
Huu ni msimu wa Nanasi, kila mwaka msimu wa matunda ukifika kawaida bei zinashuka, kwanza ukumbuke kwamba Kenya hawanunui mananasi toka Tanzania, kwahiyo wacha kudanganya kwamba kushuka bei ya nanasi ni sababu hayaendi Kenya.
Ninarudia tena, nchi za SADC ndio soko kubwa la Chakula cha Tanzania, hasa DRC, Malawi, Zimbabwe na Zambia kuliko EAC.
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app