Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbwigambwiga mmoja! EMUs zikiingia hutakaa kwa raha humu ndani!Nani huyo anabisha?
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.mbwigambwiga mmoja! EMUs zikiingia hutakaa kwa raha humu ndani!
Whether ITX or KTX they r both far advanced compared to anything in Sub Saharan Africa at the moment! Tuliza kiboga!Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
Ukishamwingiza lisu, huna Sera tena, disagreements with Kenya was before hata lisu hajazaliwaTanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
Kushinda Gauteng trains? (Gautrains)?Whether ITX or KTX they r both far advanced compared to anything in Sub Saharan Africa at the moment! Tuliza kiboga!
yes!Kushinda Gauteng trains? (Gautrains)?
Endelea kuota babaa.yes!
Ile hotuba ndani ya Bunge la Kenya,Kiongozi awamu ya 4 akiaga alitoa kauli zenye kujenga na ndani ya hotuba kuna ukweli sana umezungumzwa!Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
Thanks for understandingIle hotuba ndani ya Bunge la Kenya,Kiongozi awamu ya 4 akiaga alitoa kauli zenye kujenga na ndani ya hotuba kuna ukweli sana umezungumzwa!
Naweza kupata short video?Ile hotuba ndani ya Bunge la Kenya,Kiongozi awamu ya 4 akiaga alitoa kauli zenye kujenga na ndani ya hotuba kuna ukweli sana umezungumzwa!
Waweza kuipitia "youtube","Kikwete akiaga bunge la Kenya"Naweza kupata short video?
Asante sanaWaweza kuipitia "youtube","Kikwete akiaga bunge la Kenya"
Wewe vipi?, chakula chetu hakitoshelezi masoko ya kusini mwa Africa, Msumbiji, Zambia, Zimbabwe, DRC hadi Botswana wananunua Chakula kwetu, hao wakenya tunawauzia kwasababu wanatuomba tuwauzie, sio soko muhimu kwetuYauzieni chakula bei ghali yameliwa na nzige na corona!!
SGR yao imewashinda!!
Hicho ni kiswahili kwa Adui au rafiki?
Hata ndugai amewahi kuwarushia maneno ya karaha
Chakula kwa sasa hawanunui Tanzania tena baada ya kufanyiwa urasimu wa Hali ya juu
Wakulima mpaka Leo wanamazao hakuna mnunuzi
Shida ipo kwa Wakulima wa matunda yanaozea shambani
Hatujawahi kuwa na urafiki na Kenya hata mara moja, unakumbuka enzi za Kikwete Kenya iliongoza kundi la CoW kuitenga Tanzania na kukatokea mzozo mkubwa hadi Kikwete akaenda kujieleza bungeni?Kwani daraja la mkapa Ndio Tatizo?
Mimi Nafikiri daraja la mkapa Magu amelikuta na uhusiano wetu na Wakenya umeharibiwa na jiwe
Kisa kwa nini lissu alienda kutibiwa Kenya
Hakuna kingine
Nairobi kuna flyovers 8 kwa zaidi ya miaka 10
Mombasa kisumu usiseme
Eti daraja kule kusini sasa linawahusu nini Wakenya hata Sisi watanzania tulio wengi tunaliona kwenye picha tu
Je tungekua na daraja kama la Misri tungesema Wakenya wanaturoga
Wakenya 99% hawajawahi wala hawapajui Mtwara
Mitungi ya chang'aa kama hiyo yen?, hiyo haiwezikani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
ITX na Gautrains, ipi bora?,Kushinda Gauteng trains? (Gautrains)?
Naona umebadili "ID" toka Simba 254, hadi Simba zee 33, hata uraia pia umebadilisha sasa umekua mtanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thanks for understanding