Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

mbwigambwiga mmoja! EMUs zikiingia hutakaa kwa raha humu ndani!
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
 
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
Whether ITX or KTX they r both far advanced compared to anything in Sub Saharan Africa at the moment! Tuliza kiboga!
 
Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
Ukishamwingiza lisu, huna Sera tena, disagreements with Kenya was before hata lisu hajazaliwa
 
Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
Ile hotuba ndani ya Bunge la Kenya,Kiongozi awamu ya 4 akiaga alitoa kauli zenye kujenga na ndani ya hotuba kuna ukweli sana umezungumzwa!
 
Yauzieni chakula bei ghali yameliwa na nzige na corona!!
SGR yao imewashinda!!
Hicho ni kiswahili kwa Adui au rafiki?
Hata ndugai amewahi kuwarushia maneno ya karaha
Chakula kwa sasa hawanunui Tanzania tena baada ya kufanyiwa urasimu wa Hali ya juu
Wakulima mpaka Leo wanamazao hakuna mnunuzi
Shida ipo kwa Wakulima wa matunda yanaozea shambani
Wewe vipi?, chakula chetu hakitoshelezi masoko ya kusini mwa Africa, Msumbiji, Zambia, Zimbabwe, DRC hadi Botswana wananunua Chakula kwetu, hao wakenya tunawauzia kwasababu wanatuomba tuwauzie, sio soko muhimu kwetu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu vyetu vyema wanavimezea mate muda mrefu. Pia walikuwa wanavitumia kiwizi wizi, kama ilivyo kawaida yao. Sasa wanaona tumewakazia, wanaanza kujenga chuki na sisi.
 
Kwani daraja la mkapa Ndio Tatizo?
Mimi Nafikiri daraja la mkapa Magu amelikuta na uhusiano wetu na Wakenya umeharibiwa na jiwe
Kisa kwa nini lissu alienda kutibiwa Kenya
Hakuna kingine
Nairobi kuna flyovers 8 kwa zaidi ya miaka 10
Mombasa kisumu usiseme
Eti daraja kule kusini sasa linawahusu nini Wakenya hata Sisi watanzania tulio wengi tunaliona kwenye picha tu
Je tungekua na daraja kama la Misri tungesema Wakenya wanaturoga
Wakenya 99% hawajawahi wala hawapajui Mtwara
Hatujawahi kuwa na urafiki na Kenya hata mara moja, unakumbuka enzi za Kikwete Kenya iliongoza kundi la CoW kuitenga Tanzania na kukatokea mzozo mkubwa hadi Kikwete akaenda kujieleza bungeni?

Unakumbuka mzozo wa Kenya kupiga marufuku magari ya utalii kwenda Kenya na Tanzania kupunguza Safari za KQ kuja Tanzania hadi Uhuru Kenyatta akakutana na Kikwete Namibia wakayajenga?

Kama Lissu kulazwa Nairobi ilikua ni tatizo, iweje makamu wa rais alikwenda kumuona Hosputali Nairobi, wacha kufikiri kwa kutumia pua, Kenya wanagomba na majirani wao wote

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
Mitungi ya chang'aa kama hiyo yen?, hiyo haiwezikani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi wa kenya wana penda kuniona they are superior na kuwa dharau wenzao as if they are useless on planet sasa ichu kitu watanzania 99 % hatukitaki including me hapo tu ndio shida ina anza lkn kama waki tanguliza respect wanapo kuwa na wa tz bac hapo tutaenda sawa
 
Back
Top Bottom