Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Mkuu mimi sijawahi kua na ID nyengine tofauti na hii na mimi sijawahi kua raia wa nchi nyingineNaona umebadili "ID" toka Simba 254, hadi Simba zee 33, hata uraia pia umebadilisha sasa umekua mtanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu tafuta clip kwenye YouTube kikwete akiwaaga Wakenya bungeniHatujawahi kuwa na urafiki na Kenya hata mara moja, unakumbuka enzi za Kikwete Kenya iliongoza kundi la CoW kuitenga Tanzania na kukatokea mzozo mkubwa hadi Kikwete akaenda kujieleza bungeni?
Unakumbuka mzozo wa Kenya kupiga marufuku magari ya utalii kwenda Kenya na Tanzania kupunguza Safari za KQ kuja Tanzania hadi Uhuru Kenyatta akakutana na Kikwete Namibia wakayajenga?
Kama Lissu kulazwa Nairobi ilikua ni tatizo, iweje makamu wa rais alikwenda kumuona Hosputali Nairobi, wacha kufikiri kwa kutumia pua, Kenya wanagomba na majirani wao wote
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Pale Mkunya Anajifanya Mtanzania hovyo kabisaKwani daraja la mkapa Ndio Tatizo?
Mimi Nafikiri daraja la mkapa Magu amelikuta na uhusiano wetu na Wakenya umeharibiwa na jiwe
Kisa kwa nini lissu alienda kutibiwa Kenya
Hakuna kingine
Nairobi kuna flyovers 8 kwa zaidi ya miaka 10
Mombasa kisumu usiseme
Eti daraja kule kusini sasa linawahusu nini Wakenya hata Sisi watanzania tulio wengi tunaliona kwenye picha tu
Je tungekua na daraja kama la Misri tungesema Wakenya wanaturoga
Wakenya 99% hawajawahi wala hawapajui Mtwara
Sisi Ndio Wakulima na wafanya biashara ya mazaoWewe vipi?, chakula chetu hakitoshelezi masoko ya kusini mwa Africa, Msumbiji, Zambia, Zimbabwe, DRC hadi Botswana wananunua Chakula kwetu, hao wakenya tunawauzia kwasababu wanatuomba tuwauzie, sio soko muhimu kwetu
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unaumwa wewe, sasa hivi Tanzania bei ya mahindi ipo juu sana, Dar sasa hivi gunia moja la Mahindi ni elfu 90. Hivi wewe ni mtanzania kweli?, Zimbabwe na Msumbiji wanakabiliwa na njaa ya ajabu, watu wameanza kufa kwa njaa Zimbabwe wewe eti unasema wanalima zaidi yetu, nchi pekee yenye unafuu wa Chakula ukanda huu ni Zambia, lakini zingine zote zinategemea Tanzania.Sisi Ndio Wakulima na wafanya biashara ya mazao
Nchi ulizizitaja zina ardhi nzuri sana na wanalima kuliko Sisi
Kenya Ndio wanunuzi wakubwa wa mazao yetu haswa
Mahindi
Mchele na
Matunda sampulli zote
Mwaka huu tumewafanyia figisu wananunua mazao America Kusini na Asia Ndio maana mpaka Leo ukienda mikoa yenye mahindi Wakulima na wafanya biashara hawana sehemu ya kupeleka
Mpunga hivyo hivyo
Mbaya zaidi Matunda kama nanasi yanaozea mashambani
Je wajua Dar es salaam nanasi kutoka Tanga ni sh500 tu
Je wajua bonde la kilombero mpaka Leo mchele supper sh 800 tu
Je wajua Songwe mahindi debe Leo sh 6500 wakati miaka yote likua ikifika December bei ilikua inakua mara Tatu zaidi?
Mkuu usizungumzie siasa zungumzia reality
Tanzania mazao yetu yanaenda sana kaskazini nchi kame sio kusini maana wao pia ni Wakulima
Wakenya wanajawa na chukiUnaumwa wewe, sasa hivi Tanzania bei ya mahindi ipo juu sana, Dar sasa hivi gunia moja la Mahindi ni elfu 90. Hivi wewe ni mtanzania kweli?, Zimbabwe na Msumbiji wanakabiliwa na njaa ya ajabu, watu wameanza kufa kwa njaa Zimbabwe wewe eti unasema wanalima zaidi yetu, nchi pekee yenye unafuu wa Chakula ukanda huu ni Zambia, lakini zingine zote zinategemea Tanzania.
Huu ni msimu wa Nanasi, kila mwaka msimu wa matunda ukifika kawaida bei zinashuka, kwanza ukumbuke kwamba Kenya hawanunui mananasi toka Tanzania, kwahiyo wacha kudanganya kwamba kushuka bei ya nanasi ni sababu hayaendi Kenya.
Ninarudia tena, nchi za SADC ndio soko kubwa la Chakula cha Tanzania, hasa DRC, Malawi, Zimbabwe na Zambia kuliko EAC.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe unasema kijazba na kisiasa na mimi nakwambia kiuhalisiaUnaumwa wewe, sasa hivi Tanzania bei ya mahindi ipo juu sana, Dar sasa hivi gunia moja la Mahindi ni elfu 90. Hivi wewe ni mtanzania kweli?, Zimbabwe na Msumbiji wanakabiliwa na njaa ya ajabu, watu wameanza kufa kwa njaa Zimbabwe wewe eti unasema wanalima zaidi yetu, nchi pekee yenye unafuu wa Chakula ukanda huu ni Zambia, lakini zingine zote zinategemea Tanzania.
Huu ni msimu wa Nanasi, kila mwaka msimu wa matunda ukifika kawaida bei zinashuka, kwanza ukumbuke kwamba Kenya hawanunui mananasi toka Tanzania, kwahiyo wacha kudanganya kwamba kushuka bei ya nanasi ni sababu hayaendi Kenya.
Ninarudia tena, nchi za SADC ndio soko kubwa la Chakula cha Tanzania, hasa DRC, Malawi, Zimbabwe na Zambia kuliko EAC.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe hujui lolote kuhusu hali ya chakula, Handeni na Kilindi sasa hivi gunia la mahindi ni Tshs.70,000. Mimi kwa sasa nipo Morogoro nina wafanyakazi wangu wapo porini kawaida ninawanunulia Chakula, sasa hivi Morogoro gunia moja ni laki moja, kama kuna sehemu wanauza 36,000, njoo inbox sasa hivi, au nipe contacts niwapigie simu, au kama kweli wewe ni mfanya biashara wa Mahindi, basi tuwasiliane mimi ninayataka hayo mahindi kwa bei hiyo. Mkuu wacha kudanya watu.Mkuu wewe unasema kijazba na kisiasa na mimi nakwambia kiuhalisia
Kule Songwe na Dodoma mahindi hayana wanunuzi
Jana tu niliuliza nikaambiwa vwawa na mloo mkoani Songwe debe ni 6000 gunia 36000
Nani kakwambia dar mahindi ni 90 000?
NRFA chang'ombe walikua wananunua kwa kilo Sh 600 then wanakata 2% kwa sasa wamesimama soko hamna
Ndugu mimi hii Ndio kazi yangu
Wanunuzi wakubwa wa mazao yetu ni Wakenya maana wao Ndio suppleyers wa nchi zenye ukame kama Somalia,. Eritrea. Ethiopia. Chad. South Sudan. Sudan n, k
Sio kwamba mazao yetu yote wanakula wao
SADC ni nchi za rutuba na wanalima sana mpaka Leo kuna wazungu wamechukua mamilioni ya hekta
Congo ni nchi ya kijani kuliko nchi yeyote duniani baada ya misitu ya Amazon
Mozambique ni Wakulima wazuri sana wapo wareno wanalima sana hakuna njaa huku kusini mwa jangwa la Sahara labda itokee janga kama Nzige au mvua zisitoshe
Nchi kama Somalia au Chad au Africa ya Kati ni nchi za jangwani kama sudan
Hao Ndio wanakua mchele, maharage, mahindi yetu kuliko yeyote yule
Anglia Google map sura ya nchi utaona jinsi gani hizo nchi zilivyo pauka
Kuhusu Matunda
Watu wa muheza na Tanga kwa ujumla soko Lao kubwa ni Kenya maana Kenya kuna viwanda vingi vya juices na wanasambza bidhaa zao kule kaskazini
Mkuu maisha ni kutegemeana na kuishi na watu kwa wema
Uadui hauna faida
ninyi mpo maofisini mkitoka mpo kwenye viietee hamjui mtaani kuna nini
Unasema upo Mirogoromimi wiki mbili zilizopita nilikua Ifakara na kule debe la mahindi sokoni ni sh 10 000 ikizidi ni sh 11 000Mkuu wewe hujui lolote kuhusu hali ya chakula, Handeni na Kilindi sasa hivi gunia la mahindi ni Tshs.70,000. Mimi kwa sasa nipo Morogoro nina wafanyakazi wangu wapo porini kawaida ninawanunulia Chakula, sasa hivi Morogoro gunia moja ni laki moja, kama kuna sehemu wanauza 36,000, njoo inbox sasa hivi, au nipe contacts niwapigie simu, au kama kweli wewe ni mfanya biashara wa Mahindi, basi tuwasiliane mimi ninayataka hayo mahindi kwa bei hiyo. Mkuu wacha kudanya watu.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Handeni mahindi sh 70 000Mkuu wewe hujui lolote kuhusu hali ya chakula, Handeni na Kilindi sasa hivi gunia la mahindi ni Tshs.70,000. Mimi kwa sasa nipo Morogoro nina wafanyakazi wangu wapo porini kawaida ninawanunulia Chakula, sasa hivi Morogoro gunia moja ni laki moja, kama kuna sehemu wanauza 36,000, njoo inbox sasa hivi, au nipe contacts niwapigie simu, au kama kweli wewe ni mfanya biashara wa Mahindi, basi tuwasiliane mimi ninayataka hayo mahindi kwa bei hiyo. Mkuu wacha kudanya watu.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu, Handeni na Kilindi ndio wakulima wa mahindi wanaolisha soko la kimataifa la mahindi la Kibaigwa. Mimi nipo Doma, hapa katika mbuga ya wanyama wa mikumi, gunia la mahindi hapa ni kati ya Elfu tisini hadi laki moja, hapa ni jirani sana na Ifakara, ngoja nipige hiyo simu kama nitapata hiyo bei ya 36,000.Handeni mahindi sh 70 000
Piga hesabu kutoa mbeya hadi Tanga utatumia gharama kiasi gani kuanzia usafiri ushuru na kodi za serikali
Ukitaka mzigo mwingi wewe sema 7 000 kwa debe siku Tatu unajua za fusso
Mkuu wacha kujichanganya, umesema gunia ni Tshs.36,000, sasa unasema debe Ifakara linauzwa kwa 10,000, hiyo maaana yake gunia moja ni 70,000. Tafadhali niambie wapi wanauza kwa bei ya 36,000?, 0ninayahitaji hayo mahindi haraka sanaUnasema upo Mirogoromimi wiki mbili zilizopita nilikua Ifakara na kule debe la mahindi sokoni ni sh 10 000 ikizidi ni sh 11 000
Mpaka naondoka ifakara gunia la mpunga debe 10 sh 70 000
Kuna kijana anaitwa Emanuel yupo kule Songwe muulize namba yake ipo in box
Mkuu bado ninasubiri taarifa za wapi mahindi yanapatikana kwa Tshs.36,000 kwa gunia la 100kg, seriously ninayahitaji hayo mahindi, ila kama ulizungumza kwa lengo la kutaka kushinda mjadala, bora uniambie ili niendelee kununua haya ya 70,000.Mkuu, Handeni na Kilindi ndio wakulima wa mahindi wanaolisha soko la kimataifa la mahindi la Kibaigwa. Mimi nipo Doma, hapa katika mbuga ya wanyama wa mikumi, gunia la mahindi hapa ni kati ya Elfu tisini hadi laki moja, hapa ni jirani sana na Ifakara, ngoja nipige hiyo simu kama nitapata hiyo bei ya 36,000.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya sio kwa Tanzania tu, bali mnagombana na majirani wote. Mlivyoshabikia na kuongoza dunia kutudhalilisha kipindi cha Corona inaanza, kwamba tutakufa kwa wingi, kwamba Tanzania itageuka Italy ya East Africa hadi Uhuru Kenyatta akazuia watanzania na wasomali kuingia Kenya na Macharia akatuweka katika kundi la nchi ambazo raia wake hawaruhusiwi kuingia Kenya, kwamba Magufuli ni Kinjekitile, chuki na wivu wa wakenya kwa watanzania umepitiliza mipaka, lazima tujibu mapigo kwa nguvu zote.Bujibuji, baada ya kuanzisha uzi huu nyinyi wenyewe tu ndio mnajijibu mkisema wakenya wanatuchukia kwasababu ya hili na lile. Kufikia hapa sijaona mkenya hata mmoja akijieleza na kuonesha chuki zozote dhidi ya Tz au watanzania. Tofauti sana na uzi huu hapa ambapo watanzania walitiririka kutoka comment ya kwanza kuhusu chuki zao dhidi ya wakenya. >>>Watanzania mbona mnaichukia Kenya? Safi sana wakenya wenzangu, tuendelee kujiamini, kuchapa kazi na kutia bidii kwenye kila jambo tunalofanya. Vitu visivyokuwa na tija kama chuki za ovyo ovyo ni fani ambayo ina wenyewe. Nawahakikishia majirani watz kwamba mchawi wenu sio wakenya wala nchi ya Kenya. Mtazidi kutumia nguvu nyingi na muda mwingi kumtafuta mchawi kwa jirani, wakati yupo kwenu sebuleni akiwatafuna aste aste kwa raha zake.
Hekima teleBujibuji, baada ya kuanzisha uzi huu nyinyi wenyewe tu ndio mnajijibu mkisema wakenya wanatuchukia kwasababu ya hili na lile. Kufikia hapa sijaona mkenya hata mmoja akijieleza na kuonesha chuki zozote dhidi ya Tz au watanzania. Tofauti sana na uzi huu hapa ambapo watanzania walitiririka kutoka comment ya kwanza kuhusu chuki zao dhidi ya wakenya. >>>Watanzania mbona mnaichukia Kenya? Safi sana wakenya wenzangu, tuendelee kujiamini, kuchapa kazi na kutia bidii kwenye kila jambo tunalofanya. Vitu visivyokuwa na tija kama chuki za ovyo ovyo ni fani ambayo ina wenyewe. Nawahakikishia majirani watz kwamba mchawi wenu sio wakenya wala nchi ya Kenya. Mtazidi kutumia nguvu nyingi na muda mwingi kumtafuta mchawi kwa jirani, wakati yupo kwenu sebuleni akiwatafuna aste aste kwa raha zake.
Mbona mnapenda kujitekenya mkicheka wenyewe? Hivi huoni huyo jamaa kaandika lahaja ya Kitanzania na Mtanzania halisi huyo?🤣🤣
Asante kwa kuongea ukweli. Tanzania inahitaji watu wenye akili kama weweTanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
JPMkiongozi gani hata mmoja anashinda akitoa matamko ya chuki kuihusu kenya???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha JPM alipokuwa akizindua Mkapa bridge Kasema 'na wale wenzetu wanaopenda kusema kila kizuri Cha kwao, Mlima Kilimanjaro wanasema wa kwao, Olduvai gorge wanasema ya kwao, utasikia hili daraja wakisema la kwao.'Juzi Jafo alikua kwenye sherehe za kidinni akasema Wakenya SGR yao imewashinda mpaka wametaka mikopo
Akasema hata hivyo inatumia dizeli tofauti na yetu
Pia akasema wameliwa na nzige kwao njaa kwetu neema
Jiwe wakati anafunga bunge alisema yauzieni mazao bei kali hayana chakula kwa sababu ya nzige na corona wala msiwaonee huruma