Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Hoja hii inapapaswa tu! Haijachimbuliwa ipasavyo! Hivi Kuna Tanganyika ngapi?uingereza ngapi? Historia ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhhh hebu tudadavulieTanganyika haijawahi kuwa Koloni la Uingereza!
Kumbe sie tulikuwa chanzo cha malighafi tu,ndio maana uchumi wa kenya uko juuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Baada ya Ujerumani kushindwa kwenye vita vya kwanza vya dunia, ilinyang'anywa makoloni yake na League of Nations.
Uingereza walipewa Tanganyika kuilea (Protectorate) na sio koloni. Rwanda na Burundi walipewa Ubelgiji. Kwa hiyo Uingereza walikuwa walezi tu na ndio maana hawakujali kuiendeleza. In fact, Uingereza ilikuwa ikichukua mapato yatokayo Tanganyika (mkonge, chai, kahawa, madini, n.k.) na kuwekeza kwenye koloni lake la Kenya.