Tafsiri:Ni kwa nini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ?
Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
Mbona hata leo ugavana wa kikoloni bado upo na hilo swali hujaliuliza? Kwa nini watu wapelekwe kutawala sehemu ambayo hawana uelewa nayo haswa hawa wakuu wa mikoa, wilaya DED, DAS na wengineo? si ni style ile ile tu ya kikoloni mbona hilo huliulizi au ni nani aliwachagua kwenda maeneo hayo kutawala? Ndio maana Hangaya anataka kurudisha ma-chief ingawaje anapingwa sana na akina konokono/polepoleNi kwanini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ?
Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana kutoka mbali kuwatawala na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
Kwa hiyo chief hangaya 🤣 anataka kutawala Kwa mabavuMbona hata leo ugavana wa kikoloni bado upo na hilo swali hujaliuliza? Kwa nini watu wapelekwe kutawala sehemu ambayo hawana uelewa nayo haswa hawa wakuu wa mikoa, wilaya DED, DAS na wengineo? si ni style ile ile tu ya kikoloni mbona hilo huliulizi au ni nani aliwachagua kwenda maeneo hayo kutawala? Ndio maana Hangaya anataka kurudisha ma-chief ingawaje anapingwa sana na akina konokono/polepole
Ndiyo maana ya Ukoloni, Gavana aliteuliwa yule atakaonenekana kumudu mikiki kwa maslahi ya nchi mama. Mfano mzuri katika hili ni uteuzi wa wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa manufaa ya CCM.
Bila hawa mabalozi wakoloni weusi wangetutesa sanaGavana alikuwa ni kama mabalozi wa hizo nchi walioko leo. Hatuchagui mabalozi, tunaletewa yoyote wanayemtaka tunakubali. Wanakaa pembeni kuangalia jinsi tunajiendeshea mambo, tukiingilia maslahi yao wanajaribu kuzuia. Wakishindwa wanaondoka wanakuwea vikwazo.