Kwanini Wakoloni walikuwa hawashiriki Uchaguzi?

Kwanini Wakoloni walikuwa hawashiriki Uchaguzi?

Ni kwa nini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ?

Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
Tafsiri:
Ukoloni ni mfumo wa taifa moja kuvuka mipaka yake na kutawala KIMABAVU maeneo ya mbali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za uchumi, kisiasa, utamaduni na jamii
 
Ukipatiwa jibu sahihi la swali lako naomba uulize tena kwa nini kipindi cha ukoloni Magufuli hakuzuia makinikia kupelekwa ulaya
 
Ni kwanini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ?

Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana kutoka mbali kuwatawala na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
Mbona hata leo ugavana wa kikoloni bado upo na hilo swali hujaliuliza? Kwa nini watu wapelekwe kutawala sehemu ambayo hawana uelewa nayo haswa hawa wakuu wa mikoa, wilaya DED, DAS na wengineo? si ni style ile ile tu ya kikoloni mbona hilo huliulizi au ni nani aliwachagua kwenda maeneo hayo kutawala? Ndio maana Hangaya anataka kurudisha ma-chief ingawaje anapingwa sana na akina konokono/polepole
 
Kwa hiyo chief hangaya 🤣 anataka kutawala Kwa mabavu
 
Gavana alikuwa ni kama mabalozi wa hizo nchi walioko leo. Hatuchagui mabalozi, tunaletewa yoyote wanayemtaka tunakubali. Wanakaa pembeni kuangalia jinsi tunajiendeshea mambo, tukiingilia maslahi yao wanajaribu kuzuia. Wakishindwa wanaondoka wanakuwea vikwazo.
 
Mbona hata ukoloni bado upo sasa ila ni ukoloni wa mtu mweusi.

Mwaka jana wakurugenzi waliambia

"Nikupe nyumba na gari halafu umtangaze mpinzani"
 
Ndiyo maana ya Ukoloni, Gavana aliteuliwa yule atakaonenekana kumudu mikiki kwa maslahi ya nchi mama. Mfano mzuri katika hili ni uteuzi wa wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa manufaa ya CCM.

Swadakta na hii leo mkoloni mweusi kupitia chama kongwe dola naye anafanya yaleyale .
 
Gavana alikuwa ni kama mabalozi wa hizo nchi walioko leo. Hatuchagui mabalozi, tunaletewa yoyote wanayemtaka tunakubali. Wanakaa pembeni kuangalia jinsi tunajiendeshea mambo, tukiingilia maslahi yao wanajaribu kuzuia. Wakishindwa wanaondoka wanakuwea vikwazo.
Bila hawa mabalozi wakoloni weusi wangetutesa sana
 
Back
Top Bottom