Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Ni muhimu sana dogo. Yanaingiza hela nyingi sana huko yaliko. Kumbe hujui antiquities.Badala wajadili mambo ya msingi wanaomba kurudishiwa mafuvu na mijusi. Smh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muhimu sana dogo. Yanaingiza hela nyingi sana huko yaliko. Kumbe hujui antiquities.Badala wajadili mambo ya msingi wanaomba kurudishiwa mafuvu na mijusi. Smh
Kinacho tokea Niger, Mali nk. Wanajihami yasije chukuliwa na Put In.Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Ni muhimu sana dogo. Yanaingiza hela nyingi sana huko yaliko. Kumbe hujui antiquities.
Dr. Frank, W. S.Rais wa ujerumani anaitwa nani!!??
Kuna mambo yanaendelea katika ulimwengu wa roho na sio kwa bahati mbaya haya mambo yanatokea.Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Hizi ziara zipo mkakati zaidi hasa kuzima ushawishi wa China huku Africa.Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Bora hata hivyo mkuuTusipokuwa makini tunarudi utumwani na makoloni yanarudi kwa mabeberu baada ya machafuko huko ulaya
Rais wa Ujerumani ni Mkuu wa nchi asiyena mamlaka ya Kidola wala kiserikali.Raisi ni kama sanamu tu ujerumani hana mamlaka yeyote zaidi kuwa muakilishi
Wanawasi tusiamke kama Bukinafaso with their brilliant leader ..hawajui huku mzungu anathaminiwa kuliko kitu chochote kileJuzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Si mfaransa kayakorofisha makoloni yake hawataki hata kumuona.Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Badala wajadili mambo ya msingi wanaomba kurudishiwa mafuvu na mijusi. Smh
Ni kweli mkuuRais wa Ujerumani ni Mkuu wa nchi asiyena mamlaka ya Kidola wala kiserikali.
Chancellor ndiye Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu
Hicho kitu cha ajabu eti,mafuvu,mara watuombe msameha, kwa ajili ya ukoloni [emoji24][emoji24][emoji24] kind like stupidityBadala wajadili mambo ya msingi wanaomba kurudishiwa mafuvu na mijusi. Smh
Viongozi wanaotawala nchi za Afrika, ukiacha SouthAfrica, hawana akili, ni wezi, wajinga,waongo, IQ, ndogo,Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Unajua mi nahisi sijui utumwa unarudi maana ilianza hivi hivi walitangulia Waarabu kufanya biashara baadae wakaja wajerumani ..Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania...
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na Maumau warriors kwa upande wa uingereza pale Kenya.
Ni kama hawa Wakulungwa walikuwa na mission yao, maana ngozi nyeupe iko mbele ya muda sana kuzidi ngozi nyeusi. Unaweza kudhani ni Presidential visit ya kawaida tu, kumbe ni patrol ya wazee wa kazi.
Yes Sir ,Under the 1949 constitution (Basic Law) Germany has a parliamentary system of government in which the chancellor (similar to a prime minister or minister-president in other parliamentary democracies) is the head of government.Rais wa Ujerumani ni Mkuu wa nchi asiyena mamlaka ya Kidola wala kiserikali.
Chancellor ndiye Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu
Mkuu kwani waliondoka lini? Nauliza hivyo kwa sababu!Wanakuja na gia mpya iliyoboreshwa kutaka kutaka kurudi ki namna katika makoloni yao. Wameona china na urusi wanawapiku huku wenyewe ndiyo waliyotawala moja kwa moja kwa kuweka magavana wao. Ujerumani na uingereza zimekumbuka makoloni yao waliyoyaacha miaka mingi. Ufaransa iliendelea kuwepo kuwepo kwenye makoloni yake mpaka miaka hii na imechokwa haitakiwi