Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
hongera, we ni muislam mkristo umejibu vema sanaMi ni muislamu lakini nikujibu navofaha
Siku ya ijumaa kuu ndio yesu alisurubiwa msalabani Hadi akafa kwa hiyo ni Kama tu kuheshimu Kristu alichopitia ...ndio mana umeambiwa usile nyama sababu yesu alitoka damu..unatakiwa uitumie siku hiyo kujitafakari na kufanya maombi...au nimekosea wakuu
ungesema kwanini wakatoliki, walutheran, waanglicana na wamorovian hawali nyama siku hiyo.Habarini za asubuhi ndugu.
Hivi kwanini wakristo hatuli nyama siku ya ijumaa kuu logic behind ni nini hasa?
Mbona scriptures zina support kuhusu kula mwili wa Yesu, ni wapi kwenye Bible pameandikwa tusile nyama siku yA ijumaa kuu au Kula nyama siku ya ijumaa kuu ni dhambi?
Ni nani aliyekuzuia kula nyama hiyo siku? Tuanzie hapa kwanza. Maana mimi ni Mkristo, tena Mkatoliki niliyebakiza miaka michache tu enzi hizo kuwa Padre! Ila siku ya jana nilipokuwa safarini, nilikula ndizi za kukaanga na mishkaki ya kutosha tu!!Habarini za asubuhi ndugu.