Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.
14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?
14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?