Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Uzuri wa sisi wakatoliki, mnatutukana mnavyotaka, na sisi tunawapa nafasi ya kuwasikiliza. Tukitoka hapo tunakwenda kanisani kusali, then kwenye kitimoto na bia halafu tunarudi nyumbani. Tunakuacha na matusi yakoKatika jamii nyingi sana za kikristo Africa walidhani yule muigizaji et ndo Yesu!wakawa wanamuabudu makanisani na majumbani(wakatoliki)...wazungu walituweza aise .siku akija Yesu mwenye na hafananii na jamaa tutampinga wazi wazi....kuwa si yy