Wewe unampinga muhammad aliesema siku ya mwisho litaongea ? πππHalina manufaaa kwa vile sio lazima ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unampinga muhammad aliesema siku ya mwisho litaongea ? πππHalina manufaaa kwa vile sio lazima ?
Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."Uwe makini hii Hadith nimesha weka
......bin Ubaid bin Umair that a man said: "O Abu abdur-Rahman, why do I only see you touching these two corners?" He said: "I heard the Messenger of Allah say: 'Touching them erases sins.' And I head him say: 'whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave.'" Sunan an-Nasa'i 2919
Wewe unampinga muhammad aliesema siku ya mwisho litaongea ? πππ
Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."Wewe unampinga muhammad aliesema siku ya mwisho litaongea ? πππ
Yani wewe umekuwa mbora kuliko muhammad aliesema litaongea na litasema walioenda kuligusa kwa moyo wa unyenyekevu na kulitii ππππHalina manufaaa kwa vile sio lazima ?
Jiwe lip wakati ile ni kaabah kwa ujumla tangu enzi za SuleimanπππJiwe linalotembelewa na linalo sujudiwa kuelekea lilipo kila siku mara Tano
Wewe unakuja kusema halina maana πππ karibu kwa Yesu
Uliyotaja ni manufaa ya jiwe au sio manufaa ?Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Zipo Kona mbili muhimu pale , selemani na majini yake alizitengenezaJiwe lip wakati ile ni kaabah kwa ujumla tangu enzi za Suleimanπππ
Msisitizo tu.1. Bila kubusu lile jiwe pale Makka hakuna Uislam
2. Bila Kiarab hakuna Uislam
Nasubiri povu nikupe nyingine za mbavu
Kwenda kuhij sio lazima ni kwa aliye kuwa na uwezo.Yani wewe umekuwa mbora kuliko muhammad aliesema litaongea na litasema walioenda kuligusa kwa moyo wa unyenyekevu na kulitii ππππ
Bora ku debate na Kisai huwa akiambiwa jambo la waislamu hapingi anakazana nalo mpaka Jua kuzama matopeni alisema ni kweli na Allah ndie kasema
Uliyotaja ni manufaa ya jiwe au sio manufaa ?
Ukuta hakuna andiko lolote la wakristo likiwataka wakabusu ukuta , na pia hakuna andiko lolote likitaka wabusu msalaba na wala hakuna andiko lolote lililotoa manufaa ya kufanya jambo hiloNikileta ukuta wa Israel unaktaa
Tuambia hii hata kweny bible iko wapi?1. Bila kubusu lile jiwe pale Makka hakuna Uislam
2. Bila Kiarab hakuna Uislam
Nasubiri povu nikupe nyingine za mbavu![]()
Wenye uwezo ndio dhambi zao zinafutwa kwa safari ya hija , jiwe lina erase dhambi ukilibusi tu au ukilipungiaKwenda kuhij sio lazima ni kwa aliye kuwa na uwezo.
Hakuna andiko lolote kwenye bibliaTuambia hii hata kweny bible iko wapi?
Ujibu kwa Nini Umar alikuwa anapinga manufaa ya jiwe na kusema halinufaishi?.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Tuambia hii hata kweny bible iko wapi?
Tuambia hii hata kweny bible iko wapi?
Alifungua ni mkristo sio muislamu leta picha tuone kama upo analazimisha kweny dini yetu wala hayupo na alishakanywa.πππwakristo Wana force tufanane kwanza hamna imam mwanamke.![]()
Cape Town pro-gay mosque opens in South Africa
A Muslim academic opens a gay-friendly mosque in South Africa, despite receiving death threats and criticism from parts of the Muslim community.www.bbc.com
Yeye ndo kamsikia nmekupa majibu kutokana na hadithi naona unarudi pale pale ππUjibu kwa Nini Umar alikuwa anapinga manufaa ya jiwe na kusema halinufaishi?
Umar alikuwa na akili alijua ibada ya jiwe muhammad kaichomeka tu ili awapate waarabu walio kuwa wanaabudu jiwe
Walikuwa wanapita uchi kwa sasa mmeboresha hamvai nguo za ndani
Leta kweny Qur an!!Hakuna andiko lolote kwenye biblia
Unataka kusema ibada ya jiwe la macca halina andiko ?