Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

Waabudu masanamu vitukuu vya Paulo.
Kwa sasa waislamu mmebakiza sanamu moja lipo macca Lina umbo la uke

Ila mlianzia toka kwa muislamu selemani

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
 
Usiendekeze ujinga. Anayochorwa wala siyo Yesu bali mzungu fulani mwigizaji. Wanachofanya lau ni kutaka watu waamini alikuwapo kuliko wale ambao wanaogopa hata kutoa picha ya bosi wao ambaye wengi wanadhani ni wa kutunga
Hiyo siyo hoja ya hii mada
 
Katika jamii nyingi sana za kikristo Africa walidhani yule muigizaji et ndo Yesu!wakawa wanamuabudu makanisani na majumbani(wakatoliki)...wazungu walituweza aise .siku akija Yesu mwenye na hafananii na jamaa tutampinga wazi wazi....kuwa si yy

huu ni uzushi,

unajua kuna sura ngapi katik picha na masanamu yanayowekwa kama mbadala wa sura ya Yesu makanisani na ktk picha zinazorenga kumuwakilisha??

kati ya hizo ya deacon haijatumika sehemu kubwa.
 
Accumen Mo kwa Nini mnaendaga kubusu huu uke ?

1673776103415.png
 
Brian Decon raia wa UK ambae SAsa hivi ni mlevi mbwa.
Ile picha siyo ya Brian Decon. Nipicha ya zamani sana. Ni picha ya kijana wa Papa Alexander, Papa wa kanisa la Roma katika miaka elfu moja iliyopita. Ni picha ya kuchorwa ya sura ya kijana huyo katili ya Papa.
 
Yes yule aliyeamua mtoto wake handsome sura yake itumike kama picha ya Yesu
 
Nimekuuliza kwa nini mnaubusu uke ambao una jiwe ndani?
Kaaba ipo tangu enzi za nabii Suleiman !! Kaangalie wenzio wanavyobusu ukuta ukuta kule Jerusalem hata Ndungai hajawai kumuona.

Kama unataka upewa elimu andaa Uzi tusije kuflood katika Uzi wa watu.
 
Kaaba ipo tangu enzi za nabii Suleiman !! Kaangalie wenzio wanavyobusu ukuta ukuta kule Jerusalem hata Ndungai hajawai kumuona.

Kama unataka upewa elimu andaa Uzi tusije kuflood katika Uzi wa watu.
Hakuna kwenye biblia imesema watu wakabusu ukuta , ni matakwa Yao na wala sio ibada

Kubusu jiwe kwenye uke ni ibada kwa waislamu
 
Nimekuuliza kwa nini mnaubusu uke ambao una jiwe ndani?
Screenshot_20230115-131941.png
000_Nic6332148-1024x640.jpg
jerusalemWesternWall2013.jpg

Tafuta Uzi tubishane na usilete habari za wazungu 🤣🤣 hawa wenzio wako Israel wanabusu na kuabudu huo ukuta kama sehemu takatifu niambie huo ukuta una historia gani?
 
Hakuna kwenye biblia imesema watu wakabusu ukuta , ni matakwa Yao na wala sio ibada

Kubusu jiwe kwenye uke ni ibada kwa waislamu
Huna akili kabisa!! Biblia inamjua papa? Waisrael na wewe na anamjua yesu ?

Wewe unaowafuata wazungu na sio ukristo maana yesu hakuwa mzungu why Italy na uingereza ndo ziwe kitomvu cha ukristo sio mashariki ya kati..Kwa nn Kuna agano la kale ?
 
Unajua biblia ngapi? Usije unataka agano lip?
Punguza kuweweseka
Nimekutaka uweke andiko linalosema wakristo wabusu ukuta

Waislamu ni ibada ya jiwe inajulikana sasa unatakiwa ujibu Kwanini Allah alisema mbusu jiwe?
 
Punguza kuweweseka
Nimekutaka uweke andiko linalosema wakristo wabusu ukuta

Waislamu ni ibada ya jiwe inajulikana sasa unatakiwa ujibu Kwanini Allah alisema mbusu jiwe?
Nimweka picha hapo huoni🤣🤣🤣hata Ndungai mbona kaenda au unatakaje? Bisha kama izo picha ni za uongo.
 
Back
Top Bottom