Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
bila sanamu hakuna ukirisito bila sanamu hakuna misarabaNafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.
14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?
Tawilebila sanamu hakuna ukirisito bila sanamu hakuna misaraba
Wakristo wamekatazwa masanamubila sanamu hakuna ukirisito bila sanamu hakuna misaraba
Brian Decon raia wa UK ambae SAsa hivi ni mlevi mbwa.Katika jamii nyingi sana za kikristo Africa walidhani yule muigizaji et ndo Yesu!wakawa wanamuabudu makanisani na majumbani(wakatoliki)...wazungu walituweza aise .siku akija Yesu mwenye na hafananii na jamaa tutampinga wazi wazi....kuwa si yy
Huyu si yule aliyeigiza movie ya yesu akapiga hela , kwani umeambiwa ndio yesuNafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.
14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?
Na hii inadhihirisha kiwango cha upumbafu wa hiyo jamii yako iliyoamini yule mwigizaji ndiye Yesu. Wengine jamii zetu zina akili walijua ni maigizo tuKatika jamii nyingi sana za kikristo Africa walidhani yule muigizaji et ndo Yesu!wakawa wanamuabudu makanisani na majumbani(wakatoliki)...wazungu walituweza aise .siku akija Yesu mwenye na hafananii na jamaa tutampinga wazi wazi....kuwa si yy
Kwa nini usilete ya kwako ambayo amenyoa dongo au zikiwa nywele fupi?Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.
14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?
1. Bila kubusu lile jiwe pale Makka hakuna Uislambila sanamu hakuna ukirisito bila sanamu hakuna misaraba
Unajuaje kama huyo uliyemQuote ni Muislamu ?1. Bila kubusu lile jiwe pale Makka hakuna Uislam
2. Bila Kiarab hakuna Uislam
Nasubiri povu nikupe nyingine za mbavu
Basi mkuu wewe nakuheshimu sana wala sitaki kukujibu.Unajuaje kama huyo uliyemQuote ni Muislamu ?