Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hivi kwanini siku hizi imekua kama utamaduni alipo mkurya humkosi mchaga na alipo mchaga humkosi mkurya?
Mkurya hayuko tayari kushirikiana kwenye mambo mbalimbali na makabila mengine kama wasukuma au wahaya kutoka kanda ya ziwa lakini anashirikiana na wachaga kutoka kanda ya kaskazini, same to mchaga hayuko tayari kushirikiana na makabila menzio kutoka kaskazini kama wapare au wamasai kwenye mambo kadhaa but kaamua kwenda na mkurya.
Angalia kwenye siasa hawa wakurya na wachaga wana urafiki wa dhati kabisa usiotetereka hadi mikoa yao imekua ngome ya vyama vikuu vya upinzani kama chadema.
When it comes to national interest hawa watu huwa wana misimamo sawa isiyoyumbishwa tofauti na makabila mengine wanaopenda kunyenyekea.
Huku makazini napo ni ngumu kukuta mkurya na mchaga wanazungumziana vibaya au wana bifu za kijinga jinga.
Recently pia tumeona ndoa nyingi sana za hawa watu wakioleana.
So ebu mtupe siri ya huku kuheshimiana na kuelewana kwenu ili na sisi wa makabila mengine tujifunze kitu kutoka kwenu.