Kwanini Wakurya na Wachaga wanaheshimiana na kuelewana sana kwenye mambo mengi?

Kwasababu wote wana roho mbaya kukupeleka kwa baba muumba dakika tu ukiwazingua kwenye mgao wanajali hela kuliko kitu chochote hao.
Roho mbaya wamefanya ubaya upi unaojulikana?
 
Kwasababu wote wana roho mbaya kukupeleka kwa baba muumba dakika tu ukiwazingua kwenye mgao wanajali hela kuliko kitu chochote hao.
Mbona ni watu poa sana hao jamaa and smart sana vichwani mwao?
 
..kwasababu Wakurya wanapenda kichuri, na Wachaga wanapenda kisusio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…