Kwanini walevi wakiambiwa wamelewa wanachukia?

Kwanini walevi wakiambiwa wamelewa wanachukia?

Bila shaka wote humu ni wazima.
Na wale wenye changamoto za hapa na pale nizidi tu kuwaombea Kwa Allah awatatulie shida zao.

Moja Kwa moja niingie kwenye lengo la kuuliza swali langu hili ni Kama ifuatavyo.

Iko wazi kuwa Kila mtu anafurahia Kila anapofanya kitu ambacho anaona kiko sawa. Na mara nyingine haiwi aibu kujinadi Kwa watu kuwa yeye ni mtu wa namna gani. Mtu akila chakula kizuri haiwi aibu kwake Kama ataulizwa amekula nini ikawa hawezi kujibu wazi wazi.

Sio jambo la aibu Kwa mtu mswaliji kujibu narudi msikitini endapo ataulizwa ulikuwa wapi hali kadhalika wakristo nao watakujibu kuwa wanarudi kanisani bila aibu na Kwa furaha tele.

Iweje hawa walevi na wanywaji wanapenda kuvunga wanapoulizwa maswali inayoendana na taratibu na mazingira Yao Kwa muonekano wao wa nje?

Kwani ulevi kwao wao sio sehemu ya furaha?
Kwanini hawapendi kuambiwa kuwa wamelewa wakati kilabuni/bar wanaenda Kwa hiyari yao?
Kwani nyie walevi mnatuchukuliaje sisi tusiolewa katika jamii?

Naomba kuwasilisha swali langu Kwa masikitiko makubwa sana.

Ahsanteni...
Hivi malya naye akiambiwa mslya anachukia????
Vp mvuta bangi naye akiambiwa we vuta bangi anachukia?

Ova
 
Uliza swali lako kwa nidhamu kijana, walevi ndio wanafanya barabara, reli , mahospitali, shule na huduma zote za jamii zinakufikia hapo ulipo.

Hao ndio wanaolipa mikopo mikubwa ya nchi, ndio maana nikasema kua na nidhamu ohooo.

Mlevi hata sheria ipo upande wake, akifanya kosa akiwa kwenye hali ya kilevi basi serikali inaweza hata kumsamehe, kwanini?? Kwasababu ni mlipakodi mwaminifu na makini kuliko wote nchi hii.

Karibu tupate kvant hapa.
Hivi kwanza yeye mleta mada hii starehe yake ipi??

Ova
 
Uliza swali lako kwa nidhamu kijana, walevi ndio wanafanya barabara, reli , mahospitali, shule na huduma zote za jamii zinakufikia hapo ulipo.

Hao ndio wanaolipa mikopo mikubwa ya nchi, ndio maana nikasema kua na nidhamu ohooo.

Mlevi hata sheria ipo upande wake, akifanya kosa akiwa kwenye hali ya kilevi basi serikali inaweza hata kumsamehe, kwanini?? Kwasababu ni mlipakodi mwaminifu na makini kuliko wote nchi hii.

Karibu tupate kvant hapa.
Mlevi bhana kupenda kujisifu...
 
Naomba niulize swali.
Hivi ukikuta Mkanada asimama hapo na nywele zake za gold! Utamwambia "wewe ni mzugu"!
Umemuona kalewa, sasa akujibu nini? Ukiuliza hivyo kwenye vilabu vya taputapu, unaweza ukalambwa kofi la kushtukiza!
Labda unong'one kwa mwenzio:
" daa, jamaa naona ameutwika!!
 
Yaani mabaya yooote hayo mnaona mlevi tu?? huyo Mlevi mnamuonea!! tena afadhali uishi na mlevi mbwa kuliko hawa wafuatao;
Malaya wa mtaani au CD,
wapenda kupiga chabo!
wachawi je?..wabeba misukure! km siyo mlevi basi mtu ni mchawi, ni bora uishi na walevi mara mia millioni kuliko mchawi ndugu!
Washrikina?
wezi wa mitaani!
wabakaji! na kupenda kutongoza!
wapenda misosi umewahi ambiwa na mtu kuwa anapenda kula??
Wasagaji na wapenda ngono kwani una wajua?
Wasenge je unawajua? au kujitangaza? si wanawapa huduma?
wavivu je mnawajua au wanajisem kuwa mie mvivu?
wapenda kuliwa je?
wanao baka vijana wao? miji mama je
Jambazi hawezi sema km yeye ni jambazii labda aokoke!
Mwizi wa mashirika ya Umma!! km jiwe kaiba kajenga chao air port!
wasambaza ukimwi!
wasengenyaji!! wanamadhara kuliko mlevi!! sasa mwambie weye msengenyaji mtafika polisi!

wenye wivu yaani hapa hata Baba yako aweza kuonea wivu! .....ongezeni mengine basi!
 
Hivi wapiga chabo bado wapo?
 
Hivi wapiga chabo bado wapo?
Weeeee!! wapo ni usipime! tena utacheka!! yaani mpaka wazee wenye Mvi!!...wa mama wt wazima...., vidada usivione ivo!.......km unaweza set surveyllance Camera kwenye nyumba yako!

then pendelea kuweka move za ma-love dave! usiku mkubwa funika mwanga wa tv na kitu kizito..... basi hapo zoezi limekamilika la kuwapiga chabo wapiga chabo!..ila ujikaze sana!! wamo kina Mama, vijana me wazee! yaani utacheka mpaka ujambe!

wengine wanabebana hivi......wengine wanakuja na nondo kutoboa ukuta! wengine vitofali!! ...halafu unawajua kabisaaa!!...Kuwakomesha uwekege na Base la kidume km la kichaga vile weee!!
 
Sikuzote mtu anaeyutimia pombe vizuri anakua na akili zaidi ya ×10 kwa mtu asiyetumia pombe. Ndio maana watu wenye akili wanaofanya biashara, deals mbalimbali, connection na yote yanayohusu pesa watu hawa huamua kukutana sehem ambayo watakunywa pombe. Kwasabab pombe husema ukweli haipendi unafki na usaliti...
Kila mtu anajua kiwango cha unywaji wake, usione mtu anapepesuka ukajua basi ni mlevi. Sikuzote watu wanafki wenye chuki wivu wezi wahuni ndio hupenda kuwaambia watu wewe umelewa ili ampime kama anaweza kumfanyia jambo baya au laah...
 
🤣🤣🤣 Wanywaji mko vizuri Sana kwenye kujitetea
 
Back
Top Bottom