Nashukuru kwa masahihisho mkuu. Ni Thailand kweli sio Taiwan. Asante.Na ule mchele wa kitumbo ndio ulitoka Thailand. Au wa Thailand ulikuwa mwingine, kipindi mdogo tulitazama movies za Tony Jaa tukaijua Thailand hasa Bangkok (Mukandara Lufufu aliita Bankoko). Nikasikia na mchele unatoka Thailand nikaitambua nchi kirahisi.
Sio wali tu vyakula vingi mfano ndizi za kuiva, matikiti maji, maembe nk.Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
Ukimix na nyama choma.Kwa maisha yalivyo hiyo ladha utaipataje??
Ladha ya wali waulizwe watoto, nyie midomo yenu imelamba vingi hadi imepoteza sensitivity.GMO seeds ndio chanzo na kurahisisha kilimo ndio kimepelekea ladha hamna.
Mimi ndio naipika nyumbani sasa hivi mchele wa sasa nimechoka kuweka nazi tatu ndio upate radha.Sema kweli aiseee, bora kujipiga basmat
Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
Kiporo cha wali ndondo πππ!