Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Nashukuru kwa masahihisho mkuu. Ni Thailand kweli sio Taiwan. Asante.Na ule mchele wa kitumbo ndio ulitoka Thailand. Au wa Thailand ulikuwa mwingine, kipindi mdogo tulitazama movies za Tony Jaa tukaijua Thailand hasa Bangkok (Mukandara Lufufu aliita Bankoko). Nikasikia na mchele unatoka Thailand nikaitambua nchi kirahisi.