DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Wakurugenzi na maofisa utumishi hata makatibu tawala wa mikoa ni wahusika wakuu katika manyanyaso haya kwa walimu . Serikali ya mh Samia na waziri wa tamisemi mnafurahia unyanyasaji huu??

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
This is Divide and rule method.
CWT ilikuwa kuuuubwa ikaja na maghorofa, Mikopo, Mwalimu Benki nk nk. Mlitaka kuwa kama mhimili kwa nguvu yenu. Sasaaaa, Wenye akili wameshanusa hatari yenu, sasa mmeingia kingi mnaenda kuvurugwa mpaka mpoteane. Mpaka sasa CWT imekuwa vipande 3 na mnaendelea kugombana. Mkistuka mkoa vyama 5 mmesambaratika hamuongei lugha moja, tunaendelea kuwatawala, hakuna madaraja, mnashitakiana wenyewe kazi imeishia hapo. Kivuruge at work
CWT ife tu Haina msaada zaidi ya kupunguza Pato la mwalimu. Majizi makubwa !!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Ukiingia kwenye hiyo link, ukiweka mada ID yako haitatokea

Muhimu: Hilo Jukwaa ni mahususi kwa ajili ya Kufichua Maovu/Madokezo

cc Robot la Matope
Mimi inanigomea
Screenshot_20231127-181827.jpg
 
Nisingependa kutambulika Kwa jina langu.

Naomha Serikali iingilie kati suala hili. Kuna michezo inafanyika ngazi za wilaya Walimu wanaotaka kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA wanalazimishwa na Maafisa Elimu ngazi ya wilaya kubaki kwa kupewa vitisho mbalimbali

Kama Sheria inasema kila mtu yuko huru kuanzisha au kujiunga na chama chochote cha wafanyakazi sasa iweje walazimishwe kubaki CWT?

Je, hii ni sawa na haki wanachofanyiwa Walimu?
 
This is Divide and rule method.
CWT ilikuwa kuuuubwa ikaja na maghorofa, Mikopo, Mwalimu Benki nk nk. Mlitaka kuwa kama mhimili kwa nguvu yenu. Sasaaaa, Wenye akili wameshanusa hatari yenu, sasa mmeingia kingi mnaenda kuvurugwa mpaka mpoteane. Mpaka sasa CWT imekuwa vipande 3 na mnaendelea kugombana. Mkistuka mkoa vyama 5 mmesambaratika hamuongei lugha moja, tunaendelea kuwatawala, hakuna madaraja, mnashitakiana wenyewe kazi imeishia hapo. Kivuruge at work
Cwt kilikuwa na nguvu gani?
 
Kiteto HRO anaitwa John anasema zoezi limesitishwa japo mkurugenzi alishasign barua mtoa makato kamgomea boss wake
 
Back
Top Bottom