Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

Ni nyinyi wenyewe humu huwa mnawaita vilaza hawa watu kwajili ya division four zao. Hao wanapata muda wa kutosha kujamiiana (kujamiika) na watu kwasababu wana elimu ya kiwango cha kati

Angalia/tafiti zaidi utagundua kuwa watu wa kiwango cha chini cha elimu ndo wanaopata muda zaidi wa kuendana na utamaduni wa jamii wakifuatiwa na hao unaoulizia kisha nyinyi wasomi wa viwango vya juu vya elimu ndo wa mwisho!

Jinsi mtu anavyokuwa bize na kusoma mara nyingi ndo anazidi kujiweka mbali na mambo ya kijamii (kiutamaduni) mfano ibada, ndoa, nk

Vijana wengi wakitoka chuo kikuu tu tayari wakija wamebadilika kuwa atheist. Nyinyi wasomi mpaka kufa unakuta mmejitahidi sana ndoa na watoto wawili tu basi

Kuna msemo wa Kiingereza unatafsiriwa hivi "JINSI UNAVYOENDELEA KUJIELIMISHA (KUSOMA) NDIVYO UNAVYOZIDI KUWA MJINGA"

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
... kuna mentality za kijinga mingoni mwa wanaume wengi wa kitanzania waliofikia levels za bachelors, phd's, etc. Kwanza kuoa mwanamke aliyesoma (graduate, etc.) ni kujitafutia matatizo - dharau, viburi, n.k. Mwanamke aliyesoma akipata kazi (+ elimu aliyonayo) ni jeuri sana; hakuna heshima ndani ya ndoa!

Pili, kuoa mbumbumbu totally wakati wewe angalau umegraduate nayo ni changamoto nyingine - watanionaje?
Fact! Sentence ya kwanza futa post ianzie hapo kwenye "Kwanza..."
 
Ni nyinyi wenyewe humu huwa mnawaita vilaza hawa watu kwajili ya division four zao. Hao wanapata muda wa kutosha kujamiiana (kujamiika) na watu kwasababu wana elimu ya kiwango cha kati
Inamaana mtu anavyozidi kuwa bize ndio umuhimu wa ndoa anakuwa hauoni au ?
 
Ni nyinyi wenyewe humu huwa mnawaita vilaza hawa watu kwajili ya division four zao. Hao wanapata muda wa kutosha kujamiiana (kujamiika) na watu kwasababu wana elimu ya kiwango cha kati

Angalia/tafiti zaidi utagundua kuwa watu wa kiwango cha chini cha elimu ndo wanaopata muda zaidi wa kuendana na utamaduni wa jamii wakifuatiwa na hao unaoulizia kisha nyinyi wasomi wa viwango vya juu vya
Uko sahii kabisa,
Ata Kiranga kabla hajaenda marekani alikua mshika dini Sana.

Ata Shangazi yetu Fatuma nae asingekua mwanaharakati Sana, angeshaolewa.

Mwenzetu Liverpool VPN nae asingeona nyuzi wa wanaoumizwa na Ndoa humu jf, huenda angeshaoa
 
JOKATE MWIGELO ???????[emoji56][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mahakimu, Majaji na wanasheria asilimia kubwa sana wako Single. Ni bahati mbaya lkn ndiyo ukweli wenyewe. Kama unaye ujue ni timely bomb. Pia wenye vyeo vikubwa serikalini nao pia ni ngumu kukaa nao. Naomba ukipata habari hii ewe mwanaume mwenzangu CHUKUA HATUA
Samia ana mume wa kueleweka kwenye jamii ?
 
Ni nyinyi wenyewe humu huwa mnawaita vilaza hawa watu kwajili ya division four zao. Hao wanapata muda wa kutosha kujamiiana (kujamiika) na watu kwasababu wana elimu ya kiwango cha kati
Vijana wa hovyoo kuwa ma atheist imekuuma sana chifu
 
Tunaolewa ila hatubahatiki kupata wanaume wa kusaidia majukumu unakuwa wewe ndo baba na mama pia kwa watoto.
Kwa mwanamke mwenye akili ndoa si bahati tu, ni maamuzi ya kuchagua mume bora.

Ukiona unateseka na una mume ni either hukuchagua mume mwenye sifa za mume yaani ulikurupuka ukaangalia sifa tofauti na sifa za mume au wewe si mwanamke unayestahili mume mwenye sifa za mume.
 
Kwa Walimu kuolewa hiyo ni kweli. Ila kwa Manesi sikubaliani na hoja. Mfano Manesi ninaofanya nao kazi wapo 18, ni mmoja tu ndio ameolewa, wengine wote ni singo Mothers.

Ukweli ni kwamba Wanaume wengi hawapendi kuoa mke anaefanya kazi za kuingia kazini usiku.
 
Back
Top Bottom