Kwanini Walimu wa kike wamerundikana shule za mjini?

Kwanini Walimu wa kike wamerundikana shule za mjini?

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Asilimia kubwa ya Walimu wote shule za vijijini ni wanaume. Kuna shule hazijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu kuanzishwa kwake.

Kuna mtindo wa kurundika walimu wa kike shule za mjini kwa kigezo cha mazingira .

Mwalimu wa kike akiajiriwa kijijini kidogo tu huyo amehama .

Pita shule zilizopo mjin mfn Mwanza, Dodoma,Arusha, Moro na Dar uone hali halisi.

Halafu nenda shule za vijijini Mara, Shinyanga n.k

Tamisemi WAKE UP
 
Gender equity [emoji3514]

Treating people according to their needs

Gender quality....
Treating people equally [emoji735]
 
Back
Top Bottom