idiomer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 289
- 342
Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe???
Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani.
Tuache kuwaonea walimu. Hii haikubaliki. There must be reform