Kwanini waliopata alama ndogo ndio wanasomea ualimu?

Kwanini waliopata alama ndogo ndio wanasomea ualimu?

Status
Not open for further replies.

flyn rider

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
456
Reaction score
78
Wadau hivi kwanini ya majority ya waliopata alama ndogo form four na form six wanakimbilia ualimu lakini wanaopata alama nzur kidogo tu hawawazi kuwa walimu wanafkiria vitu vyengine,?
N.b sio wote but ni wengi wao
 
wanadhani ajira ni rahisi kupata wakisoma edu.. vilevile na priority ya boom.. kuna wachache wanaenda kwa nafsi zao kupenda hiyo kazi lakini wengi wao ndo wale waliokuwa wanasema "NIKIWA MKUBWA TAKUWA PILOT" :angry::angry::angry:
 
Nikweli,lakini Wapo Wale Ambao Wamepata Alama Za Juu Na Wanaendelea Na Masomo Wakiwa Na Ndoto Za Kuwa Waalim,tofauti Na Ambao Wakimaliza Kidato Cha Nne Na Wamepata Daraja La Nne Ndo Wanaenda Ualim,JIBU... Lakini Itakuwa Ni Kuwasaidia Hao Nao Wajiendeleze Na Elim Nadhani Na Ndio Maana Kuna Madaraja Grade A Diploma N.k Au Vip?
 
But baada ya kukimbilia ualimu kwanini wasireseat,unajua zaman waliokua wanasomea ualimu walikua wana alama za juu na ndio maana wana historia kubwa,saiv ukiwa na marks za kuungaunga ndio unakimbilia ualimu na kuna vyuo kibao nw vya degree za ualimu na unaingia kwa alama ndogo tu.unafkiri mtu ana 3 ya mwisho form six na amechukua shahada ya ualimu anaweza kumfundisha mtu akapata A advance?na hili ndio maana elimu yetu inadidimia coz cjawahi kumuona mtu ana div 1 ya science then akaamua kusomea ualimu
 
"teaching is a nobble proffesional" mwl. J.K Nyerere
 
Binafsi ni mwalim,advance nilipata daraja la I nimesoma education chuo Bora Tanzania na sasa nasoma shahada ya II najilipia,nadhan huo ni MTAZAMO TU wa watu juu ya walim,
na bahat mbaya sekta ya ualim haina madaraja kama vile ya afya ambapo kuna wauguz,na madaktari,ila kuna watu walikua na div II na walikosa nafas ya kujiunga na education,mfano hapo UDSM,na pia naona kaz hii nayoifanya nipo free sana kufanya mambo yangu mengine nje ya ualimu,kwa sababu kama ningekua kwenye ofis fulan nisingepata nafas hiyo,suala la mwalim kuwa mtu wa vibom ni yeye tu kujiendekeza,maana hata watu wa kada nyingine nao wanalipwa mishahara mizur na wanapiga vibom kama kawaida,ni jamaa zetu ni ndugu zetu
 
Sijui unazungumzia walimu wa nchi ipi maana nchi kama Sweden, Canada, German, Ufilipino, na Hongkong nilizotembelea, ili kusomea ualimu ni lazima uwe umefaulu mtihani.
 
halafu humu jf 90% ni walimu mnataka kubadilisha vituo vya kazi

wewe mwenzetu ni nani?
Ambaye hukupita ktk mikono ya walimu?walimu ndio wamekutoa uchizi na kwa kuwatukana naona umeanza kupata laana zao mjusi guruguja weee
 
Kwa mtazamo wangu ni kwamba watu wa alama za chini wanakimbilia ualimu kwa sababu ni fani inayojulikana zaidi na urahisi wa kupata ajira. Alafu fani yoyote ile alama za kujiunga chuo kwa level husika huwa ni sawa na fani nyingine wanaenda waliofeli kabisa kwa mfano CBE, MUCCOBS, IFM, na vyuo vingne vingi tu.
 
Kuna msanii alishawahi kuimba.. 'kimbilio la waliofeli, ni ualimu na upolisi..'

Sijui hii dhana ya kuwapuuza walimu na polisi ilitoka wapi!nadhani ilikuwa ni mkakati wa kudhoofisha kiwango cha elimu ili watu watawalike kirahisi kwa sababu hawatajua haki zao na kuendelea kuburuzwa.
Nionavyo mimi walimu na polisi ndio watu muhimu katika kustawi kwa taifa lolote. Kustawi huku kunatokana na watu kupata elimu iliyo bora itakayokidhi na kukabiliana na mazingira. Polisi nao ni muhimu sana katika jamii wakiwa na elimu nzuri watakuwa na uwezo wa kutafsiri sheria na kuzisimamia vyema.
Naiomba jamii kuanza kuwa na mtazamo tofauti kama kweli tuna nia ya kuwa na maendeleo sisi na watoto wetu ili tusiachwe na dunia hii yenye changamoto.
 
Kwa mtazamo wangu ni kwamba watu wa alama za chini wanakimbilia ualimu kwa sababu ni fani inayojulikana zaidi na urahisi wa kupata ajira. Alafu fani yoyote ile alama za kujiunga chuo kwa level husika huwa ni sawa na fani nyingine wanaenda waliofeli kabisa kwa mfano CBE, MUCCOBS, IFM, na vyuo vingne vingi tu.

kwenye urahis wa kupata ajira usisahau kuwa hata ukisomea udaktari ni rahis kupata ajira mdau,n then mtafute mtu alopata alama za chini ambaye anasoma ualim kwa vyuo kama UDSM,DUCE,MUCE even SUA umlete hapa kama sampo.
 
But baada ya kukimbilia ualimu kwanini wasireseat,unajua zaman waliokua wanasomea ualimu walikua wana alama za juu na ndio maana wana historia kubwa,saiv ukiwa na marks za kuungaunga ndio unakimbilia ualimu na kuna vyuo kibao nw vya degree za ualimu na unaingia kwa alama ndogo tu.unafkiri mtu ana 3 ya mwisho form six na amechukua shahada ya ualimu anaweza kumfundisha mtu akapata A advance?na hili ndio maana elimu yetu inadidimia coz cjawahi kumuona mtu ana div 1 ya science then akaamua kusomea ualimu

ww unajichanganya,sasa mwalim ana shahada unataka a-reseat nin tena???
 
kwenye urahis wa kupata ajira usisahau kuwa hata ukisomea udaktari ni rahis kupata ajira mdau,n then mtafute mtu alopata alama za chini ambaye anasoma ualim kwa vyuo kama UDSM,DUCE,MUCE even SUA umlete hapa kama sampo.

Mimi nawajua hapa UDSM wapo kibao tena ndio wengi wenyw div 3 za science wanasomea ualimu,labda huko kwenu kwa arts maana hata div2 ni mbinde kusoma course ya kueleweka but UDSM au ukienda pale DUCE,Au MUCE basi 90% ya wanaosomea ualimu wa science basi ni div3
 
kwanza tambua nchi hii ina uhaba na walim wa sayansi,ila mimi mdogo wangu alipata div 3 PCB amemaliza SUA Biotechnology and Laboratory Science (BLS),sasa kwa hilo nalo unasemaje,?maana ana ufaulu wa kiwango cha chini kwa mtazamo wako,pia kabla ya ujio wa maombi kupitia TCU ilikua ni ngumu kupata admission UDSM kama una CHINI YA DIV II,except kwa program maalum ya Pre-entry ilokua inawahusisha wasichana,ambayo kwa sasa nadhan imekufa,,,,,
 
Well said. Kwenye ualimu kuna priorities na urahisi wa kujiendeleza.

nadhan mtoa mada halijui hili kwakua hayupo huko,pamoja na mapungufu yake ila kuna fursa,halafu watu hawaelew ukiwa mwalim sio ndo unakua unahangaika na chaki,kuna muda mzuri sana wa kufanya mambo binafs likiwemo la KUSOMA,wapo wanaodhan kaz ni kuwa kwenye ofisi flan unapigwa kiyoyoz,kuna watu wameajiriwa benk humu,ila wanalalamika kuwa mshahara mdogo,
 
Na kweli kabisa. Pia ukiangalia sio wote wenye alama ndogo ndio wanafanya ualimu wengi tu nawajua ni wa daraja la 1 na la 2, halafu pia nawajua waliochaguliwa vyuo kama cha Iringa sheria lakini ana daraja la 3.
 
kuna walimu walipata div.1 o level advance div.2 but hyo presentesion yao darasan niyakuandaa div 5. kama mtu alipata div 1-3 kiufupi amefaulu akienda facaulty yeyote akakomaa anakuwa competent
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom