flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
Nikweli,lakini Wapo Wale Ambao Wamepata Alama Za Juu Na Wanaendelea Na Masomo Wakiwa Na Ndoto Za Kuwa Waalim,tofauti Na Ambao Wakimaliza Kidato Cha Nne Na Wamepata Daraja La Nne Ndo Wanaenda Ualim,JIBU... Lakini Itakuwa Ni Kuwasaidia Hao Nao Wajiendeleze Na Elim Nadhani Na Ndio Maana Kuna Madaraja Grade A Diploma N.k Au Vip?
halafu humu jf 90% ni walimu mnataka kubadilisha vituo vya kazi
Kuna msanii alishawahi kuimba.. 'kimbilio la waliofeli, ni ualimu na upolisi..'
Kwa mtazamo wangu ni kwamba watu wa alama za chini wanakimbilia ualimu kwa sababu ni fani inayojulikana zaidi na urahisi wa kupata ajira. Alafu fani yoyote ile alama za kujiunga chuo kwa level husika huwa ni sawa na fani nyingine wanaenda waliofeli kabisa kwa mfano CBE, MUCCOBS, IFM, na vyuo vingne vingi tu.
But baada ya kukimbilia ualimu kwanini wasireseat,unajua zaman waliokua wanasomea ualimu walikua wana alama za juu na ndio maana wana historia kubwa,saiv ukiwa na marks za kuungaunga ndio unakimbilia ualimu na kuna vyuo kibao nw vya degree za ualimu na unaingia kwa alama ndogo tu.unafkiri mtu ana 3 ya mwisho form six na amechukua shahada ya ualimu anaweza kumfundisha mtu akapata A advance?na hili ndio maana elimu yetu inadidimia coz cjawahi kumuona mtu ana div 1 ya science then akaamua kusomea ualimu
kwenye urahis wa kupata ajira usisahau kuwa hata ukisomea udaktari ni rahis kupata ajira mdau,n then mtafute mtu alopata alama za chini ambaye anasoma ualim kwa vyuo kama UDSM,DUCE,MUCE even SUA umlete hapa kama sampo.
Mimi nawajua hapa UDSM wapo kibao tena ndio wengi wenyw div 3 za science wanasomea ualimu,labda huko kwenu kwa arts maana hata div2 ni mbinde kusoma course ya kueleweka but UDSM au ukienda pale DUCE,Au MUCE basi 90% ya wanaosomea ualimu wa science basi ni div3
Well said. Kwenye ualimu kuna priorities na urahisi wa kujiendeleza.
nadhan mtoa mada halijui hili kwakua hayupo huko,pamoja na mapungufu yake ila kuna fursa,halafu watu hawaelew ukiwa mwalim sio ndo unakua unahangaika na chaki,kuna muda mzuri sana wa kufanya mambo binafs likiwemo la KUSOMA,wapo wanaodhan kaz ni kuwa kwenye ofisi flan unapigwa kiyoyoz,kuna watu wameajiriwa benk humu,ila wanalalamika kuwa mshahara mdogo,