aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
Hapa sibishani tumia akili. Bali nakuelimisha!! KijanaHuu ni msemo maarufu katika hicho kitabu, sasa tuambie jina la huyo mzungu na ni wapi alizungumza hiyo kauli, ujinga na kubishana na vitu vilivyo dhahiri, ulifikiri unawadanganya watoto wa chekechea??
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuambie mkataba upi ulivunjwa.Mikataba ya madini
Labda ni mwalimu wa ujingaHapa sibishani tumia akili. Bali nakuelimisha!! Kijana
km Mzungu Bado anasumbua akili yako huyo ni wewe!
Jiwe naye alikuwa anajifanya mungu, Mungu akamtuliza tuli
tumia akili kujibu. Siyo jazba na bado!!!!!