DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sijaelewa imekaaje hii wakuu,
Yaani Mlokole akikaa dukani kwake asipouza TU au akiuza kimahesabu akawa anapata hasara.
Moja Kwa Moja,
Anaamini ushirikina unahusika, Hata Kama Misingi ya biashara yake unaona kabisa haifuati.
Utashangaa kaleta chumvi na maji ya upako ananyunyizia kwenye fremu lake, mara akemee pepo, Mara achome udi, sijui majani anayaita ya upako kwenye Kona za fremu za wenzie.
Sasa Kwa vitendo hivi, unabaki kujiuliza, hivi Mshirikina halisi Ni nani, je Ni yule asiyejulikana anaedai anamroga?
Au Mshirikina ni yeye mwenyewe anaezunguka kwenye mafremu ya wenzake anachoma na kunyunyizia vitu Hata havieleweki.🤔
KUNA VITU VINAKERA UNAWEZA JIKUTA UMEMZABA MAKOFI JIRANI YAKO