Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

Kwasababu wao wenyewe ni washirikina pia. Ulokole ni kiini macho tu cha kufanya shughuli za kichawi.
Utajo wa Mungu ni mdogo mno ukilinganisha na makelele yaliyochanganywa na mazingaombwe mixer tuhuma za kila alie karibu yako ni mchawi.

Hakuna viumbe wenye roho mbaya na husda kama walokole. Na kuhalalisha matendo yao wako radhi kusingizia mtu uchawi na mapepo.

Nyuma ya mikesha ya walokole kuna;

Uzinzi uliokithiri.
Uchawi na ushirikina.
Majungu na roho mbaya.

Ukitaka kusadiki haya, angalia nyumba ikiwa na mwenza mmoja mlokole na mwingine sio, huwa hazidumu.
point ya mwisho nakazia

Kuna jirani yangu mmoja, mwanamke toka asubuhi mpaka jioni anashinda kanisani sijui yupo kwenye kitengo cha maombi sijui , mme wake unamkuta anashindia mkate na juice maana wa kupika hamna
 
ukishaona mtu anadai ameokoka basi ujue huyo mtu ana matatizi makubwa Sana na hakubaliani na hilo tatizo,suluhisho kwake ni kukimbilia kanisani kuokoka,nilikua nataka kusemaa asilimia nyingi ya walokole ni watu wanaosumbuliwa na mizimu ya kwao ila hawataki kuikubali suluhishisho wanakimbilia kanisani kuikemea
 
point ya mwisho nakazia

Kuna jirani yangu mmoja, mwanamke toka asubuhi mpaka jioni anashinda kanisani sijui yupo kwenye kitengo cha maombi sijui , mme wake unamkuta anashindia mkate na juice maana wa kupika hamna
Huo sasa ni Umama mpaka ukajua anashindia mkate!!
 
Hata nyinyi Najua si malaika yawezekana Mkawa na matatizo makubwa kupita ya hao walokole unaowasema!!
Nimeuliza mlokole ni nani? Yawezekana kabisa mmejipa jina ambalo hata asili yake hamlijui. Umezaliwa tu umekuta watu wanabwabwaja lugha kama za walevi ukaaambiwa wanaitwa walokole
 
Sijaelewa imekaaje hii wakuu,

Yaani Mlokole akikaa dukani kwake asipouza TU au akiuza kimahesabu akawa anapata hasara.

Moja Kwa Moja,

Anaamini ushirikina unahusika, Hata Kama Misingi ya biashara yake unaona kabisa haifuati.

Utashangaa kaleta chumvi na maji ya upako ananyunyizia kwenye fremu lake, mara akemee pepo, Mara achome udi, sijui majani anayaita ya upako kwenye Kona za fremu za wenzie.

Sasa Kwa vitendo hivi, unabaki kujiuliza, hivi Mshirikina halisi Ni nani, je Ni yule asiyejulikana anaedai anamroga?

Au Mshirikina ni yeye mwenyewe anaezunguka kwenye mafremu ya wenzake anachoma na kunyunyizia vitu Hata havieleweki.🤔

KUNA VITU VINAKERA UNAWEZA JIKUTA UMEMZABA MAKOFI JIRANI YAKO
Usiwe mpuuzi kuwaamini walokole, wale jamaa ni sawa na watu waliochanganikiwa. Mlokole akivimbiwa na kushinda kunya anakemea pepo ambazo hata yeye mwenyewe hazijuwi. Ni wapuuzi mno na akili zao hazina akili.
 
Kwakuwa ni washirika wa ushirikina na wengi wametiwa mihuri ya chale
Nina jirani wa hivyo..yy anasali makanksa ya kilokole ila sasa kifua na mgongo umejaa chale...akivaa nguo ya wazi..
 
Kwasababu wao wenyewe ni washirikina pia. Ulokole ni kiini macho tu cha kufanya shughuli za kichawi.
Utajo wa Mungu ni mdogo mno ukilinganisha na makelele yaliyochanganywa na mazingaombwe mixer tuhuma za kila alie karibu yako ni mchawi.

Hakuna viumbe wenye roho mbaya na husda kama walokole. Na kuhalalisha matendo yao wako radhi kusingizia mtu uchawi na mapepo.

Nyuma ya mikesha ya walokole kuna;

Uzinzi uliokithiri.
Uchawi na ushirikina.
Majungu na roho mbaya.

Ukitaka kusadiki haya, angalia nyumba ikiwa na mwenza mmoja mlokole na mwingine sio, huwa hazidumu.
Walokole ni viumbe mashetani,wana chuki na roho mbaya hao mbwa
 
Nimeuliza mlokole ni nani? Yawezekana kabisa mmejipa jina ambalo hata asili yake hamlijui. Umezaliwa tu umekuta watu wanabwabwaja lugha kama za walevi ukaaambiwa wanaitwa walokole
Je wewe ni mlokole au Mwislamu?
 
Back
Top Bottom