Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

Matatzo yangu Ni yapi mkuu
Kama unapenda kuongelea matatizo ya watu wengine Automatic wewe unayo matatizo makubwa sana ndiyo maana hujaelezea kuhusu hizo tunguli zako na mambo mengine unayoyajua wewe. Unazungumza matatizo ya wengine njoo na suluhisho! Ukikosa nyamaza maana hayakuhusu!!
 
Hao pia ni washirikina. Siku moja nikiwa mdhambi nilienda kwa mganga mida ya asbh nikakuta mganga kama kachoka ikabidi nimuulize inakuwaje. Akajibu kuwa usiku mzima alikuwa akiwaganga wachungaji.
Huyo alikuwa anakupanga tuu nawe ukamwamini Γ kakuuzia kinyesi cha nguruwe ukajua ni dawa maana hata wachungaji wanatumia.
Alikutajia mΓ jina hao wachungaji walau mmoja?
Wajinga ndio mliwao.
 
Most of them ni wavivu kufanya kazi, hata kufikiria ni wavivu, they don't have customer cares
Alaf wanafikiri kupiga pasi nguo,na kunyoa ndevu ndo ulokole!!!,,,,,,,,ila wazinzi kinoma!!! mlikole anayeishi sinza anaenda kuzini mbagala na mlokole wa mbagala anaenda kuzini sinza!!!........alaf wana majungu balaa!!!
 
Kwakuwa ni washirika wa ushirikina na wengi wametiwa mihuri ya chale
 
Hii ni mentality ya Watanzania karibu wote japo Walokole wamezidi.

Fuatilia status za wengi utasikia, "Nawapenda mnaonipenda, maadui zangu mkae mbali, hata mkinisema sipungukiwi kitu, mnanijua sana kupita mama yangu"...
SAWA...HATUKOSI MAADUI...ILA KWANINI IWE WEWE TU...NDIO UJIHISI UNACHUKIWA TU...
 
upo
 
Sasa mtu anakuja Hadi kwenye Kona ya fremu lako, akemea na anachoma vitu hata havieleweki
Mkuu wewe kama hauamini hayo mambo mbona unayapa muda kichwani kwako?

Sehemu muhimu sana ya kutokuamini ni kupuuza, lasivyo utakuwa unaweka vihoro moyoni ukitaka kila mtu asiamini kama wewe. Na hayo ni mateso mkuu.
 

Wao ndio wanafanya ushirikina kwa kujipa excuse ya kuamua kuwasingizia wasiohusika kwenye matatizo ambayo wanatakiwa kuyakubali na kuweka mikakati ya kupambana nayo.

Africans don't want to be responsible when the going gets tough, and we prefer to have simple answers to the very difficult questions. We end up being disappointed and failures.

Unless we decide to change and take ownership of our own destinations, every now and then, we will be blaming others for our own shortfalls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…