Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

point ya mwisho nakazia

Kuna jirani yangu mmoja, mwanamke toka asubuhi mpaka jioni anashinda kanisani sijui yupo kwenye kitengo cha maombi sijui , mme wake unamkuta anashindia mkate na juice maana wa kupika hamna
 
ukishaona mtu anadai ameokoka basi ujue huyo mtu ana matatizi makubwa Sana na hakubaliani na hilo tatizo,suluhisho kwake ni kukimbilia kanisani kuokoka,nilikua nataka kusemaa asilimia nyingi ya walokole ni watu wanaosumbuliwa na mizimu ya kwao ila hawataki kuikubali suluhishisho wanakimbilia kanisani kuikemea
 
point ya mwisho nakazia

Kuna jirani yangu mmoja, mwanamke toka asubuhi mpaka jioni anashinda kanisani sijui yupo kwenye kitengo cha maombi sijui , mme wake unamkuta anashindia mkate na juice maana wa kupika hamna
Huo sasa ni Umama mpaka ukajua anashindia mkate!!
 
Hata nyinyi Najua si malaika yawezekana Mkawa na matatizo makubwa kupita ya hao walokole unaowasema!!
Nimeuliza mlokole ni nani? Yawezekana kabisa mmejipa jina ambalo hata asili yake hamlijui. Umezaliwa tu umekuta watu wanabwabwaja lugha kama za walevi ukaaambiwa wanaitwa walokole
 
Usiwe mpuuzi kuwaamini walokole, wale jamaa ni sawa na watu waliochanganikiwa. Mlokole akivimbiwa na kushinda kunya anakemea pepo ambazo hata yeye mwenyewe hazijuwi. Ni wapuuzi mno na akili zao hazina akili.
 
Kwakuwa ni washirika wa ushirikina na wengi wametiwa mihuri ya chale
Nina jirani wa hivyo..yy anasali makanksa ya kilokole ila sasa kifua na mgongo umejaa chale...akivaa nguo ya wazi..
 
Walokole ni viumbe mashetani,wana chuki na roho mbaya hao mbwa
 
Nimeuliza mlokole ni nani? Yawezekana kabisa mmejipa jina ambalo hata asili yake hamlijui. Umezaliwa tu umekuta watu wanabwabwaja lugha kama za walevi ukaaambiwa wanaitwa walokole
Je wewe ni mlokole au Mwislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…