Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.
Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.
Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.
Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni za vileo, zisilifumbie swala hili macho