Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Kuna Masai alipanda daladala 2016 akawa ashuka pale mwenge akawa hataki kutoa nauli walipozozana na kondakta akatoa sime, hivyo hata hapo itakuwa ilitokea situation km hyo
Nimezaliwa Tanzania,sijawahi sikia Maasai kafanya Fujo na sime yake,Mbona ni watu peace tu jamani,hebu tuwatreat kama binadamu tuache kuwabagua....
 
Nimezaliwa Tanzania,sijawahi sikia Maasai kafanya Fujo na sime yake,Mbona ni watu peace tu jamani,hebu tuwatreat kama binadamu tuache kuwabagua....
Sjui kilimkuta nini Ila jamaa alifanya fujo balaa na MTU pekee aliemtuliza ni Masai mwenzake wengine wote walisepa mpaka traffic, baada ya kuchukua ile sime askari ndio wakasogea
 
Nimezaliwa Tanzania,sijawahi sikia Maasai kafanya Fujo na sime yake,Mbona ni watu peace tu jamani,hebu tuwatreat kama binadamu tuache kuwabagua....
Amesingiziwa.
Wamasai wala hawatishii Rumeki kwa sime, Mmasai akikasirika sana anapandisha tu mori, mori ukishuka anaendelea na mishe zake
 
Buji ..miaka hiyo nasoma , natoka arusha kwenda mkoani..wamasai walipanda bus..wakawa hawana seat, then nikashuka kwenda kujinyoosha kurudi nakuta masai boy amekaa kwenye seat yangu na hataki kutoka,,then nilivyotaka kutumia nguvu nikaona wenzake wanataka kuniattack..

Mimi ni mkurya sisi tuna viburi na jeuri ila wale jamaa ni wajeurii na dharau kupindukia...
 
Ila wamasai ni waoga tu.😂😂😂😂
 
Yaan wana vijitabia exceptional kabisa na binadamu wa kawaida!

Mfano anaweza akakugeuka ndani ya dk na hamjagombana, akili zao kama haziko sawa hivi [emoji848]

Hata awe amesoma vipi[emoji26]
Huko ni kutojiamini kwao tu.Wanaishi kivyaovyao hadi kudhania wao ni exceptionals!Wavumilie tu.Vivutio vya taifa.😂😂😂😂
 
View attachment 2130328
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.

Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.

Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.

Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni za vileo, zisilifumbie swala hili macho
Hivi wanaposema disko limeingia mmasai wana maana gani?
 
Back
Top Bottom