Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

wamasai wana tabia za kiporini sana.

hawawezi kufanya mazungumzo na mtu na kuelewana

ni wakorofi alafu wana umoja, unaweza kukorofisha na mmoja lakini gafla ukajikuta umezungukwa na wamasai kama saba...

hawana utu kabisaa... wanaweza kumuona mtu amepasuka yupo chini damu zinamtoka na wakawa wanamuangalia tu

hawawezi kujumuika na jamii nyingine, yani wanajitengatenga muda wote hata story hawataki.

kwa ukorofi wa mmasai hata mkurya anasubiri

wamasai sio binadamu wa kawaida, nadhani mazingira yao wanaliyokulia ndo yanawafanya wawe hivyo.
 
Hao wenge club wamefanya kitu kidhungu wanasema risk assessment alafu wamefanya proactive measures yaan unazuia viashiria vya hatari mapema
Hakuna kitu kama hicho.matukio ya watu kuingia na bastola sehemu za starehe nakudhuru watu ni makubwa zaidi kuliko wamasai wanaoingia na sime na kudhuru watu.Hata hivyo tatizo lingekua ni silaha walipasa waseme kua ni marufuku kuingia na sime ila wao wametaja kabila.wakati kuna masai wengi tu siku hizi wanavaa suti na hawabebi hizo sime kwahiyo nao kwamujibu wa tangazo hawapaswi kuingia.Hilo tangazo ni ubaguzi wakikabila.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂 Sasa ndio washazuiliwa
 
View attachment 2130328
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.

Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.

Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.

Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni za vileo, zisilifumbie swala hili macho
Sasa watu hawaogi unategemea nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wajuba ni watu wakushangaza nimeishi miaka ya kuoanga mjini takriban maiaka 7,8 ila sikuwahi kupanga na Masai sehem moja na mijini haw wajomba ni wengi ila wanapoishi hapajulikani nahisi hawa watu wanaweza kuwa aliens[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wameanza kujibagua wenyewe utavaaje mashuka wenzao tuvae suruali.
 
Serikali yenyewe inataka kuwafukuza Ngorongoro.

Huu ni muendelezo tu wa serikali ya awamu ya sita kutaka kuifuta jamii ya kimasai katika uso wa dunia.
 
Hawa wajuba ni watu wakushangaza nimeishi miaka ya kuoanga mjini takriban maiaka 7,8 ila sikuwahi kupanga na Masai sehem moja na mijini haw wajomba ni wengi ila wanapoishi hapajulikani nahisi hawa watu wanaweza kuwa aliens[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu mbona chuoni masai wanapanga vyumba, au unazungumzia masai walinzi.
Masai wa vyuoni wapo smart kuliko hata wasukuma.
 
Back
Top Bottom