Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wapi umesikia masai kafyeka mtu bar?Wanaweza kuingia na panga humo club ikawa mtafaruku humo clubuni
Mmeacha kuvamia mgodi wa North Mara?Hata sisi wakurya tunabaguliwa pia. Tumewekewa kanda maalum ya kipolisi
Tunaonewa kishenzi hapa Tarime kila hatua unakutana na FFU
Si kweli, ni chuki zenu tu RumegiHahahahah! labda watakuwa wanachafua bar ya watu kwa kutema tema mate hovyo.
Si kweli, wapi umeona masai kaleta fujo bar? Fujo wanaleta WakuryaLabda wanaingia na sime. Wakilewa na hivyo visu ni hatari
Tutakula nini sasa mkuu au unataka tufe, kimsingi tunaenda kuokota mabakiMmeacha kuvamia mgodi wa North Mara?
Madini yameshasepa na wana wazawa mnabaki kuchekecha matope.... Hii nchi hii ngumu Sana.tutakula nini sasa mkuu au unataka tufe
kimsingi tunaenda kuokota mabaki
Kuna Masai alipanda daladala 2016 akawa ashuka pale mwenge akawa hataki kutoa nauli walipozozana na kondakta akatoa sime, hivyo hata hapo itakuwa ilitokea situation km hyoSi kweli, wapi umeona masai kaleta fujo bar? Fujo wanaleta Wakurya
Kweli kabisaHili suala si la kufumbia Macho,haya mambo yanaanzaga taratibu mwisho yanaota mizizi
Leta facts. Kesi ilienda polisi?Kuna Masai alipanda daladala 2016 akawa ashuka pale mwenge akawa hataki kutoa nauli walipozozana na kondakta akatoa sime, hivyo hata hapo itakuwa ilitokea situation km hyo
Laisanga. LumenyeSi kweli, ni chuki zenu tu Rumegi
ndo hivyo lakini tunapataMadini yameshasepa na wana wazawa mnabaki kuchekecha matope.... Hii nchi hii ngumu Sana.