monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Yule jamaa alikamatwa akakabidhiwa kwa wale traffic wa pale mwenge na sjui walimpeleka wapi yule Masai baadae wale traffic, nakumbuka ile daladala ilikuwa inatoka route ya makongo juu kwenda makumbushoLeta facts. Kesi ilienda polisi?
Nimezaliwa Tanzania,sijawahi sikia Maasai kafanya Fujo na sime yake,Mbona ni watu peace tu jamani,hebu tuwatreat kama binadamu tuache kuwabagua....Kuna Masai alipanda daladala 2016 akawa ashuka pale mwenge akawa hataki kutoa nauli walipozozana na kondakta akatoa sime, hivyo hata hapo itakuwa ilitokea situation km hyo
Lengo lao msifaidi urithi wenu hata kidogo!Sasa mkivamia si mtatwangwa risasi?ndo hivyo lakini tunapata
kuna mtu alipata millioni mia
hela ya kula hatukosi
sema sasa hata hayo mabaki wameyazungushia ukuta
Sjui kilimkuta nini Ila jamaa alifanya fujo balaa na MTU pekee aliemtuliza ni Masai mwenzake wengine wote walisepa mpaka traffic, baada ya kuchukua ile sime askari ndio wakasogeaNimezaliwa Tanzania,sijawahi sikia Maasai kafanya Fujo na sime yake,Mbona ni watu peace tu jamani,hebu tuwatreat kama binadamu tuache kuwabagua....
Amesingiziwa.Nimezaliwa Tanzania,sijawahi sikia Maasai kafanya Fujo na sime yake,Mbona ni watu peace tu jamani,hebu tuwatreat kama binadamu tuache kuwabagua....
Ila wamasai ni waoga tu.ππππBuji ..miaka hiyo nasoma , natoka arusha kwenda mkoani..wamasai walipanda bus..wakawa hawana seat, then nikashuka kwenda kujinyoosha kurudi nakuta masai boy amekaa kwenye seat yangu na hataki kutoka,,then nilivyotaka kutumia nguvu nikaona wenzake wanataka kuniattack..
Mimi ni mkurya sisi tuna viburi na jeuri ila wale jamaa ni wajeurii na dharau kupindukia...
Hao wenge club wamefanya kitu kidhungu wanasema risk assessment alafu wamefanya proactive measures yaan unazuia viashiria vya hatari mapemaWapi umesikia masai kafyeka mtu bar?
KWENYE KUTAFUTA HIYO NI MOJA YA RISKLengo lao msifaidi urithi wenu hata kidogo!Sasa mkivamia si mtatwangwa risasi?
Hata dar kuna kanda maalumhata sisi wakurya tunabaguliwa pia
tumewekewa kanda maalum ya kipolisi
tunaonewa kishenzi hapa tarime
kila hatua unakutana na FFU
Aiseee kweli maisha ni Vita.KWENYE KUTAFUTA HIYO NI MOJA YA RISK
Naamini maneno yako pasi na shaka.Wasingeruhusiwa kutembea na simeAmesingiziwa.
Wamasai wala hawatishii Rumeki kwa sime, Mmasai akikasirika sana anapandisha tu mori, mori ukishuka anaendelea na mishe zake
Kwa nini mkuu?Ila wamasai sio wastarabu kabisa mweeh[emoji848]
Yaan wana vijitabia exceptional kabisa na binadamu wa kawaida!Kwa nini mkuu?
Huko ni kutojiamini kwao tu.Wanaishi kivyaovyao hadi kudhania wao ni exceptionals!Wavumilie tu.Vivutio vya taifa.ππππYaan wana vijitabia exceptional kabisa na binadamu wa kawaida!
Mfano anaweza akakugeuka ndani ya dk na hamjagombana, akili zao kama haziko sawa hivi [emoji848]
Hata awe amesoma vipi[emoji26]
Na kweli aseee...duh nimeishi nao sana, lkn sitakagi mazoea nao kabisa Kutokana na tabia zaoHuko ni kutojiamini kwao tu.Wanaishi kivyaovyao hadi kudhania wao ni exceptionals!Wavumilie tu.Vivutio vya taifa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wanaposema disko limeingia mmasai wana maana gani?View attachment 2130328
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.
Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.
Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.
Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni za vileo, zisilifumbie swala hili macho