Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Tatizo wakija wanaanza kutuuzia Dawa za kuongea nguvu Sijui Bar kuna gym.
 
kwanza, ni uporipori. nimeishi karibu nao na tulikuwa tunauziwa maziwa nao, maziwa hadi yananuka shombo. hadi niliizoea. pili, uchafu, huwa hawaogi mara kwa mara. tatu ni kuamini zaidi kwenye tamaduni zao kuliko ukisasa. nne, wana mashetani, huwa yanapanda na yakipanda anaweza hata kujigongesha ukutani hadi yatakapotulia na akiamua kukuvamia atakushambulia kikwelikweli. nne, ushamba, mtu ni bilionea lakini bado anavaa katambuga na lubega. nne, kuishi kama wanyama, anakuwa na pesa ila analala nje kama roli. imagine mtu ana mangómbe 500 au hata 50 tu lakini yupo mjini ameacha mke na watoto porini amekuja kulinda apate alfu hamsini kwwa mwezi au apate pa kulala tu ili aamke auze madawa ya kienyeji ambayo hata hayana faida ili akanunue ngómbe wengine, hiyo ni baada ya miaka miwili. uwa navaa miwani, mmoja kanikuta njiani ati "nunua hii dawa hiyo miwani utatupa kabisa"hata hajui kwanini navaa kama ni ya lensi au urembo. pia, hata ukiwasomesha wakawa na phd kama kina laitataika wale mapacha, huwa hawafunguki akili, bado wanakuwa na akili ya uporipori tu. elimu hiuwa haiwakomboi. pia, ni kabila pekee ambalo ukivaa kitenge/kikoi/kanini hata ukiwa mwanaume unaeleweka tu, wakati makabila mengine ukivaa kama wao utajulikana unashikishwa ukuta. na wanapenda sana kuishi porini na wanyama hata kama kuna opportunity za kuishi kwenye civilized area, mfano ni wale wa ngorongoro.
 
Kweli hizi ni sababu za kuwabagua? Kwanini tusiwalete karibuna kuwafundisha kwa upole?
 
Kweli hizi ni sababu za kuwabagua? Kwanini tusiwalete karibuna kuwafundisha kwa upole?
utamfundisha masai kweli anafundishika kweli? kunguru huwa anafugika? nimekwambia hata wakipata phd huwa akili ipo porini bado. si umeona wale kina ole ngurumo wanavyopambana ndugu zao waendelee kuliwa na wanyama na kushi bila vyoo kule ngorongoro? hata hawaelewi na ni wanasheria kabisa.
 
Mbona wao wanaishi mjini na wamestaarabika? Tofautisha tumbo na maisha
 
Hahahahah! labda watakuwa wanachafua bar ya watu kwa kutema tema mate hovyo.
Nilishaenda basi 1 jina kapuni, lilikuwa linanuka mate ya ugoro hatariii, nikauliza, nikaambiwa ni basi pekee huwabeba hao Kwa safari za wilayani huko Morogoro!
Niliapa sitorudia! Unapaliwa Hadi kiungulia!
 
Hili suala si la kufumbia Macho,haya mambo yanaanzaga taratibu mwisho yanaota mizizi

Wakitaka wasibaguliwe, waache kwanza kujitenga na jamii nyingine. Nikisema hivi nadhani unanielewa. Lakini pia waachane na baadhi ya mila na desturi zao zilizopitwa na wakati!

Mfano kutoboa masikio kupitiliza, kuvaa lubega, kutembea na fimbo, sime na marungu, kupaka mafuta yao ya samli, nk! Halafu waone kama kuna mtu atawabagua.
 
Yaani unashauri kabisaaaa waache Mila na desturi zao?kwani zinakuathiri vipi mwananchi uliyeacha Mila na desturi zako na kudaka za magharibi au za mashariki?Masai akitoboa sikio wewe inakuathiri vipi?kweli wamebeba sime na rungu wamekupiga nalo?Cmooooon jamani
 

Sasa si mnataka wasibaguliwe! Basi waishi maisha kama wanayoishi wengine. Wakiendelea na maisha yao ya kizamani, watabaguliwa tu. Maana hakuna namna.

Dunia inabadilika. Na wenyewe hawana budi kubadilika. Hivyo kitendo cha wao tu kujitenga na wengine kimila, kimavazi, kitamaduni, nk. Tayari huo ni ubaguzi. Kwa hiyo hata wenyewe pia ni wabaguzi.
 
Nilishaenda basi 1 jina kapuni, lilikuwa linanuka mate ya ugoro hatariii, nikauliza, nikaambiwa ni basi pekee huwabeba hao Kwa safari za wilayani huko Morogoro!
Niliapa sitorudia! Unapaliwa Hadi kiungulia!
🤣😂🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…