Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!
Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.
Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.