Kwanini Wambulu wa Tanzania hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia?

Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!

Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.

View attachment 3579980View attachment 3579981
Wao wanatukimbiza kwenye mabaa
 
We babu unazingua sana mastaa wote waliovuma na wanaovuma sasa kina simbu na Geay wote hao ni wairaq au asili yao ni wairaq
Njo huku ujionee vipaji aise
Mbulu,Dongobesh,Haydom,Haydarer,Getarer nk nk
Katika mashindano ya kimataifa ya riadha/mbio Kenya wana ujumla ya medali za dhahabu 120 wakati sisi tuna 5 tu, Fanya hesabu hapo.
 
Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!

Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.

View attachment 3579980View attachment 3579981
Utakuwa huna taarifa sahihi!
 
Back
Top Bottom