Mkuu michezo ile ya shule ya msingi tumeua kisiasa na ya sekondari , najua utaniambia inafanyika lakini ni uhuni tu ndio unafanyikaga pale kuchaguana kwa kuangaliana so vipaji vipo ila hakuna wa kuvitoa mahali vilipo kuvileta juu kumbuka hizo jamii ni za kifugaji so inataka kwanzia ground kuwe na kuandaliwaImehujumiwa kivipi?
Sidhani kama chama hapo kina umuhimu wowote.
Kwani hii nayo ni mpaka central government? 🤔Serikali ingewekeza maeneo hayo,kama kujenga shule maalum yenye viwanja na vifaa husika ingevuna vipaji na matokeo yangeonekana
Filibeti bayi ni babu Yako?😅😅😅Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!
Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.
View attachment 3579980View attachment 3579981
Umewahi kuwajaribu wakashindwa???Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!
Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.
View attachment 3579980View attachment 3579981
GeayHawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!
Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni wanyonge sana.
View attachment 3579980View attachment 3579981
We babu unazingua sana mastaa wote waliovuma na wanaovuma sasa kina simbu na Geay wote hao ni wairaq au asili yao ni wairaq
Je, unawajua au kuwakumbuka akina Filbert Bayi, Gidamis Shahanga, na, Nzaeli Kyomo?