Kwa trend ilivyo inaonekana imepangwa ni LAZIMA lissu ashindwe kesi kisha mama (kusudi aonekane ana huruma) aje amtoe kwa msamaha wa rais...kwa akili yake anadhani ndio watz watampenda hahahhhaaa kalaghabao
Kakwambia lini anataka kumwachia ili nyinyi mumpende
Na kutuudhi sisi wapiga kura wake tunaotaka Hafungwe kwa kuleta maafa kwenye Taifa
Kama sio Uwenyekiti wake pale Chadema
Leo Familia mia500 zingekuwa na wapendwa wao
majumbani mwao👈
Yeye kaacha Familia yake Salama uko Marekani
Kisha kaja kukinukisha kupitia watoto wa masikini 🫎👈
Jamhuri inasimama na Lissu Kwaajili Damu za waliopotea✅️
Hakuna msamaha atapewa zaidi pona yake ni maridhiano ambayo
Yeye Lissu anaweza kuachiwa kwa masharti maalum✅️
Kwaakili yako angekuwa mwenyekiti bado ni Mzee mbowe kuna kifo kingetokea chochote ‼️
Kuna kugomea uchaguzi kungetokea kias sasa chama akina ruzuku ‼️👈
kinategemea tone tone kiweze kujiendesha
Wanaota Lissu afungwe
ni wengi✅️
kuliko wanaotaka apate
msamaha ❌️
Ndiomana kesi ipo mbele yenu
Serikali inajua maoni ya Watanzania
Waliowengi ✅️
Kuliko Miemko yenu y kitoto✍️