Pressure kutoka nje... Sasa hivi hakuna Press release kutoka nje, ni mwendo wa mikeka ...Yule Waziri sijui Kombo Kila wiki anakula mikeka wiki inayokuja anareplyWana haraka kumaliza kesi kabla mambo hayajaharibika kabisa.
Inaonekana uamuzi ulishafanyika kabla hata kesi haijaanza. Huu ushahidi wa sasa ni geresha tu, ndio maana wanaruka crucial witnesses ili kufupisha safari ya mtuhumiwa kuelekea gerezani.
Kwani akishindwa kesi si Kuna mahakama ya rufani?. Au atashindwa Leo kesho mama atangaze msamaha?Kwa trend ilivyo inaonekana imepangwa ni LAZIMA lissu ashindwe kesi kisha mama (kusudi aonekane ana huruma) aje amtoe kwa msamaha wa rais...kwa akili yake anadhani ndio watz watampenda hahahhhaaa kalaghabao
Au uhaini hauna rufaa? Nauliza tuKwani akishindwa kesi si Kuna mahakama ya rufani?. Au atashindwa Leo kesho mama atangaze msamaha?
Kwa trend ilivyo inaonekana imepangwa ni LAZIMA lissu ashindwe kesi kisha mama (kusudi aonekane ana huruma) aje amtoe kwa msamaha wa rais...kwa akili yake anadhani ndio watz watampenda hahahhhaaa kalaghabao
Au uhaini hauna rufaa? Nauliza tu
Na wenye akili tunajua huu pia unashahidi hukumu inaweza kua imeandaliwa Tayari
Unawashwa kinyeo unatakiwa ukunwe na kitu butu.Kakwambia lini anataka kumwachia ili nyinyi mumpende
Na kutuudhi sisi wapiga kura wake tunaotaka Hafungwe kwa kuleta maafa kwenye Taifa
Kama sio Uwenyekiti wake pale Chadema
Leo Familia mia500 zingekuwa na wapendwa wao
majumbani mwao👈
Yeye kaacha Familia yake Salama uko Marekani
Kisha kaja kukinukisha kupitia watoto wa masikini 🫎👈
Jamhuri inasimama na Lissu Kwaajili Damu za waliopotea✅️
Hakuna msamaha atapewa zaidi pona yake ni maridhiano ambayo
Yeye Lissu anaweza kuachiwa kwa masharti maalum✅️
Kwaakili yako angekuwa mwenyekiti bado ni Mzee mbowe kuna kifo kingetokea chochote ‼️
Kuna kugomea uchaguzi kungetokea kias sasa chama akina ruzuku ‼️👈
kinategemea tone tone kiweze kujiendesha
Wanaota Lissu afungwe
ni wengi✅️
kuliko wanaotaka apate
msamaha ❌️
Ndiomana kesi ipo mbele yenu
Serikali inajua maoni ya Watanzania
Waliowengi ✅️
Kuliko Miemko yenu y kitoto✍️
Kama nakuona unavopiga hesabu zako maisha yatakuwaje kama jamaa akija kuwa rais wa nchi nawewe umeatamia mali za ufisadi! kaa kwa kutulia tundu la kupenya limebakia dogo sana, sijui kama wote mtapata nafasi ya kutosha au mtabaki kama vifaranga bila mama harafu mwewe awanyakue one after other. Viva viva TALKakwambia lini anataka kumwachia ili nyinyi mumpende
Na kutuudhi sisi wapiga kura wake tunaotaka Hafungwe kwa kuleta maafa kwenye Taifa
Kama sio Uwenyekiti wake pale Chadema
Leo Familia mia500 zingekuwa na wapendwa wao
majumbani mwao👈
Yeye kaacha Familia yake Salama uko Marekani
Kisha kaja kukinukisha kupitia watoto wa masikini 🫎👈
Jamhuri inasimama na Lissu Kwaajili Damu za waliopotea✅️
Hakuna msamaha atapewa zaidi pona yake ni maridhiano ambayo
Yeye Lissu anaweza kuachiwa kwa masharti maalum✅️
Kwaakili yako angekuwa mwenyekiti bado ni Mzee mbowe kuna kifo kingetokea chochote ‼️
Kuna kugomea uchaguzi kungetokea kias sasa chama akina ruzuku ‼️👈
kinategemea tone tone kiweze kujiendesha
Wanaota Lissu afungwe
ni wengi✅️
kuliko wanaotaka apate
msamaha ❌️
Ndiomana kesi ipo mbele yenu
Serikali inajua maoni ya Watanzania
Waliowengi ✅️
Kuliko Miemko yenu y kitoto✍️
Kwa huu mwandiko wako nakushauri endelea kujifunza kwa kusoma replies za member wenzako,bado haujafikia kiwango cha kukipigania chama.Kakwambia lini anataka kumwachia ili nyinyi mumpende
Na kutuudhi sisi wapiga kura wake tunaotaka Hafungwe kwa kuleta maafa kwenye Taifa
Kama sio Uwenyekiti wake pale Chadema
Leo Familia mia500 zingekuwa na wapendwa wao
majumbani mwao👈
Yeye kaacha Familia yake Salama uko Marekani
Kisha kaja kukinukisha kupitia watoto wa masikini 🫎👈
Jamhuri inasimama na Lissu Kwaajili Damu za waliopotea✅️
Hakuna msamaha atapewa zaidi pona yake ni maridhiano ambayo
Yeye Lissu anaweza kuachiwa kwa masharti maalum✅️
Kwaakili yako angekuwa mwenyekiti bado ni Mzee mbowe kuna kifo kingetokea chochote ‼️
Kuna kugomea uchaguzi kungetokea kias sasa chama akina ruzuku ‼️👈
kinategemea tone tone kiweze kujiendesha
Wanaota Lissu afungwe
ni wengi✅️
kuliko wanaotaka apate
msamaha ❌️
Ndiomana kesi ipo mbele yenu
Serikali inajua maoni ya Watanzania
Waliowengi ✅️
Kuliko Miemko yenu y kitoto✍️
Hukumu ipo tayari, akitoa utetezi zaidi unawaacha uchi, na itachangia kuharibu zaidi integrity ya mahakama.Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
Lissu ndio alishik bunduki na kuuwa hao watu?Kakwambia lini anataka kumwachia ili nyinyi mumpende
Na kutuudhi sisi wapiga kura wake tunaotaka Hafungwe kwa kuleta maafa kwenye Taifa
Kama sio Uwenyekiti wake pale Chadema
Leo Familia mia500 zingekuwa na wapendwa wao
majumbani mwao👈
Yeye kaacha Familia yake Salama uko Marekani
Kisha kaja kukinukisha kupitia watoto wa masikini 🫎👈
Jamhuri inasimama na Lissu Kwaajili Damu za waliopotea✅️
Hakuna msamaha atapewa zaidi pona yake ni maridhiano ambayo
Yeye Lissu anaweza kuachiwa kwa masharti maalum✅️
Kwaakili yako angekuwa mwenyekiti bado ni Mzee mbowe kuna kifo kingetokea chochote ‼️
Kuna kugomea uchaguzi kungetokea kias sasa chama akina ruzuku ‼️👈
kinategemea tone tone kiweze kujiendesha
Wanaota Lissu afungwe
ni wengi✅️
kuliko wanaotaka apate
msamaha ❌️
Ndiomana kesi ipo mbele yenu
Serikali inajua maoni ya Watanzania
Waliowengi ✅️
Kuliko Miemko yenu y kitoto✍️
Kwani jamaa atakubali kukatishwa ushahidi wake.Hukumu ipo tayari, akitoa utetezi zaidi unawaacha uchi, na itachangia kuharibu zaidi integrity ya mahakama.
Ila Heche bana. Eti mtu anayesombwa na Maji huwa anahangaika sana mara ashike majani,mwishowe akiona kifo hiki hapa anaamua kushikilia Maji yenyewe akiamini atajiokoa. Kuna namna Makamu Logical Intelligence yake imenyooka Sana🤣Kwa trend ilivyo inaonekana imepangwa ni LAZIMA lissu ashindwe kesi kisha mama (kusudi aonekane ana huruma) aje amtoe kwa msamaha wa rais...kwa akili yake anadhani ndio watz watampenda hahahhhaaa kalaghabao