Kwanini Wana Muharakisha Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi Bila kutoa Uamuzi wa Mashahidi Muhimu

Lissu anajua wamekwisha andaa Hukumu ila anachojaribu kufanya ni kuiwwka record sawa, ili hata siku nyingine wasiseme hayakusemwa.
 
Lissu ni Mwalifu kupitia siasa
Kuchaguliwa kwake kuwa Mwenyekiti Chadema kumepelekea Watanzania kufa wengi 500+

Baada ya kukiongoza chama chake kwenye Mapambano na Mapolisi
Uhalifu wake unajidhihirisha kwa maandalizi yake
Kawacha family yake muhimu kwake
Marekani
Ambao ni Mke ✅️
Na Watoto ✅️

Kwann kawaacha uko Marekani
Sababu kajua kitendo kile kakusudia kufanya ni kinyume na Sheria

Ikiwemo kuzuiya Uchaguzi
Kufanya Maandamano yasiofata Sheria

Leo hakuna Mwasheria yoyote anaweza kusema yale Maandamano yamekidhi itaji ya Kisheria ❌️

Maneno yake yeye mwenyewe Lissu yanatoa majibu kuwa alidhamiria kutenda kosa✅️

Mambo mawili moja
Maneno yake mwenye ✅️

Mbili
Kuficha familia yake sehemu
Salama kabla ya kutenda
Kosa ✅️

Ndiomana Jamhuri inawaona Viongozi wengine wote ndani ya Chadema hawana hatia na kile kimeratibiwa Mo29

Wanyewe wameshangazwa kama sisi wengine
Hata Heche hakujua kile Lissu kakipanga nyuma ya panzia ✅️

SO JAMHURI INAMTENDEA HAKI LISSU KUMPA MAVUNO YAKE ALIYOPANDA YEYE MWENYEWE✍️
 
Kama kuna mtu amesikia Lissu amefafanua kivipi kauli zake za "KUKINUKISHA" na "KUZUIA UCHAGUZI" alikuwa namaanisha nini bila kufanya makosa ya kijinai naomba anisaidie hicho kipande tafadhali
 
Ngoja nikuulize. Hao watu 500 waliuawa na nani?
 
Sheria inatungwa kuwausu Binadamu na Lissu nayeye ni ktk Binadamu mwenye kutenda kizuri na kibaya

Ukifanya vizuri tutakupenda Ukifanya vibaya kwakiwango kile Watanzania tumezika Wapendwa wetu wengi

chanzo sio Chadema❌️

chanzo sio Mzee mbowe ❌️

chanzo ni Tundu Lissu ✅️

JAMHURI LAZIMA ICHUKUE HATUA✅️
 
Kama kuna mtu amesikia Lissu amefafanua kivipi kauli zake za "KUKINUKISHA" na "KUZUIA UCHAGUZI" alikuwa namaanisha nini bila kufanya makosa ya kijinai naomba anisaidie hicho kipande tafadhali
Kazungumzia... Hata kama hakuzungimzia haileti tofauti. Kuzuia uchaguzi au kukinukisha siyo kosa kisheria linaloweza kutafsiriwa kuwa ni UHAINI
 
Nani aliwaua hao watu 500 unaposema waliuawa?
 
Kama hayafata Sheria
Manake ile mikusanyiko ilikuwa ya wahuni Wavamizi kwenye miundombinu ya Serikali na watu Binafsi

Sasa Lissu ndio chanzo cha kuwepo wale wahuni ✅️

Sababu wahuni wameonekana Wanatenda yale Lissu
kayatamka kupitia
Mdomo wake👈

Nayo kuzuiya Uchaguzi
Tumeona wale wahuni wakivamia Vituo vya Uchaguzi na wakaenda mbali kuvamia Miundombinu mingine

Kabla ya Lissu kutamka maneno yale hatukuwai kuona matukio yenye ukubwa ule👈

Yakufanana na yale✍️
 
Ukiwa wewe ni Mwana Siasa
Na
Unaongoza chama cha Siasa

Ukasema ikiwa Serikali haitofanya lile na lile
Ukaendelea kusema
Tutazuiya Uchaguzi

Na Serikali inajua kwa muda ule haiwezekani kutenda kile wewe umetaka✅️

Kumbuka Lissu hakusema
Ivi kisheria
NItazuiya
Kasema
TUTAZUIYA manake ni wingi
Kuwepo kwake Lupango bado wapo wengine ndiomana yakatokea matukio yanayoendana na
Matamko yake Lissu ✅️
 
Kwenye mizani za Sheria ni kugumu sana!!

Mfano wewe umechoma MOTO kwako lkn ule MOTO ukaenda mbali na kuuwa watu uko mbele

Sasa Kisheria huwezi sema mimi sijauwa😜
Sababu wameuwawa
na MOTO ❌️

SHERIA inataka kujua chanzo cha MOTO
chanzo ndio kinabeba kesi ya Mauaji ✅️
 
Chanzo cha wahuni kufanya Uporaji Uvamizi Uchomaji
Ni ndugu Tundu lissu ✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…